Hili ndio kubwa la kuzingatia, wengi wanachagua broker kwa kufuata upepo na sio kwa kufanya utafit yakinifu, eti tumia broker fulani kisa waweza deposit kwa mpesa!!, kuna vitu vya ziada vya kuzingatia ikiwa ni pamoja na regulator wa kueleweka.
Nimechagua broker wangu watatu
- USA based mmoja na
- UK/Australia base - wawili.
Hawa broker wananiwezesha kutrade hata zile pair ambazo wengine wanazikimbia sababu ya spread kubwa ila kwa hawa brokers still spread bado ni ndogo, Na nzuri zaidi account zote ni ECN zenye commission ndogo.