Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Unifikii. Ila napata shida bado kuelewe wenzetu waliotutukana matusi yote, wanajisikiaje? Mbaya zaidi kilichoandikwa hakifutiki hata moderator wafute haitasaidia. Hii ni aibu kwa taifa kuwa kizazi cha vijana wajinga, wapumbavu na malofa kama hawa wa sasa.
Oyooooooooooooooooooooooo
Rais wetu Magufuli. Uwiiiiiiii... Rahaaaaaaa
Nafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?
Vipi nakusalimia tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ni sheeeeeeeeeeeeeda