Weka kisa mkuu
[emoji23][emoji23] we jamaa nimecheka sana weka hata la-teni mkuuDuuh! Yani watu wana hela nyingi mpaka wanaweka kwenye akaunti..Haya ndio 'magepu' sasa... [emoji28]
Mabenki yote Ni majizi ,,nmb walinisumbua baada kuweka 8m ,, yaan nilikuja kukumbana na makato umiza ,,
Ni akaunti ninayotumia kila siku, baada ya kuweka kiasi kingi Cha fedha zilipita siku kadhaa nikarudi benki nitoe mzigo, wananiambia akaunti ipo dormant Mara imezidiwa inabidi ...Fafanua kiongozi
Hata mie iliwahi nikutaa hii, tena ilikua 70k sisahau kamwee.crdb niliwahi thibitishwa kuwa nimetoa hela toka kwa wakala lakini kiukweli sikutoa hela siku hiyoooo... japo ilikuwa ndogo!