Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Niliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo.
Leo ninaandika tena kusisitiza kuwa wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu. Hawa jamaa ni wapigaji.
Wanaweza kutoa hela kwenye akaunti yako bila wewe kujua.
Leo ninaongea kuna jamaa yangu kanipa kisa hiki.