Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is not marketing war. Mtoa taarifa ni mtu wa kawaida sana. Anasimamia akaunti ya taasisi.Manager kisa kiko wapi isije ikawa ni marketing war!!?
Is not marketing war. Mtoa taarifa ni mtu wa kawaida sana. Anasimamia akaunti ya taasisi.
Nimejua kwa sababu naidai taasisi hiyo. Muda walioahidi kunipa hela yangu ulipofika nilipoona kimya, nikwashtua ndo wakanipa kisa hicho na kwamba imeshindikana hadi kesho yake.
Iko hivi: alikwenda benki kutoa hela kwenye akaunti ya taasisi hiyo. Katika process za kuchukua hela hiyo, lazima uanze kwa kuchukua benki statement. Hapakuwa na shida kwani benki statement ilionesha fedha ipo.
Kuingia kwenye mfumo wa serikali wa malipo, fedha iko kidogo kuliko bank statement. Ikalazimu kumwona msimamizi yaani idara ya fedha ngazi ya halmashauri.
Akasema taasisi hiyo ilishafanya malipo kwa mtu fulani siku chache zilizopita.
Kwa bahati mbaya malipo hayo yalifanywa kwa chek ambayo siyo ya taasisi hiyo wala hakuna document yoyote iliyoandaliwa na taasisi hiyo kuidhinisha malipo.
Jiulize, benk statement inaonesha hela zipo, lakini fedha kwenye akaunti iko pungifu. Nani anaweza kufanya hilo kama si wao?
Nimewashauri wapeleke malalamiko polisi ili niwatafutie msaada wa kisheria ikiwa ni pamoja na kudai fidia kwa usumbufu kwani wameenda mara mbili kufuata hela wakawa wakiambiwa amount ya chek ni kubwa kuliko kiasi halisi kwenye akaunti.
Si vita ya kibiashara, ni tukio la kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hueleweki. Bank statement ni taarifa za akaunt katika karatasi au softcopy. Unavyoelezea ni as if akunti ni box fulani lenye pesa wakati ni taarifa tu. Embu eleza vzr hapo unaposema bank statement fedha zipo ila kwenye akaunt hazipo.Is not marketing war. Mtoa taarifa ni mtu wa kawaida sana. Anasimamia akaunti ya taasisi.
Nimejua kwa sababu naidai taasisi hiyo. Muda walioahidi kunipa hela yangu ulipofika nilipoona kimya, nikwashtua ndo wakanipa kisa hicho na kwamba imeshindikana hadi kesho yake.
Iko hivi: alikwenda benki kutoa hela kwenye akaunti ya taasisi hiyo. Katika process za kuchukua hela hiyo, lazima uanze kwa kuchukua benki statement. Hapakuwa na shida kwani benki statement ilionesha fedha ipo.
Kuingia kwenye mfumo wa serikali wa malipo, fedha iko kidogo kuliko bank statement. Ikalazimu kumwona msimamizi yaani idara ya fedha ngazi ya halmashauri.
Akasema taasisi hiyo ilishafanya malipo kwa mtu fulani siku chache zilizopita.
Kwa bahati mbaya malipo hayo yalifanywa kwa chek ambayo siyo ya taasisi hiyo wala hakuna document yoyote iliyoandaliwa na taasisi hiyo kuidhinisha malipo.
Jiulize, benk statement inaonesha hela zipo, lakini fedha kwenye akaunti iko pungifu. Nani anaweza kufanya hilo kama si wao?
Nimewashauri wapeleke malalamiko polisi ili niwatafutie msaada wa kisheria ikiwa ni pamoja na kudai fidia kwa usumbufu kwani wameenda mara mbili kufuata hela wakawa wakiambiwa amount ya chek ni kubwa kuliko kiasi halisi kwenye akaunti.
Si vita ya kibiashara, ni tukio la kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stanbic ni bank ya nje?Mabenki haya ya ndani ni majizi sana ,Bank za nje hakuna huo upuuzi.
CRDB ni wezi sana ,Stanbic wapo vizuri.
Benk statement inatumika kama reference kuingia kwenye FFARS.Hueleweki. Bank statement ni taarifa za akaunt katika karatasi au softcopy. Unavyoelezea ni as if akunti ni box fulani lenye pesa wakati ni taarifa tu. Embu eleza vzr hapo unaposema bank statement fedha zipo ila kwenye akaunt hazipo.
Mbona hujaweka kisaNiliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo.
Leo ninaandika tena kusisitiza kuwa wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu. Hawa jamaa ni wapigaji.
Wanaweza kutoa hela kwenye akaunti yako bila wewe kujua.
Leo ninaongea kuna jamaa yangu kanipa kisa hiki.
Shida ukiweka hilo li-teni likitokea lakutokea unaambiwa huwezi kuitoa unakuwa unaisoma tu imo kwenye akaunti[emoji23][emoji23] we jamaa nimecheka sana weka hata la-teni mkuu
Stanbic ni bank ya nje?
Kujua kaka. Ndiyo ninaisikia hapaMkuu umeuliza kutaka kujua au kunichallenge?
Ni mtanzania wa nchi gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Kujua kaka. Ndiyo ninaisikia hapa
Kujua kaka. Ndiyo ninaisikia hapa
Shukrani sana. Nitaanza ku deal na international banks nowNi international standard Bank Mkuu same as Barclays(ABSA),KCB etc
NMB,CRDB etc ni Local Banks.
Sawa, huenda anakaa pembezoni kuliko huku kwetu. Ila stanbic kwa matukio fulani hivi, ilifahamika.Haijalishi we ni nani ila kuna mambo mengine huyajui, yeye kushindwa kujua hilo sio kosa.
Sawa, huenda anakaa pembezoni kuliko huku kwetu. Ila stanbic kwa matukio fulani hivi, ilifahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwajui Stanbic vizuri wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...acha kabisaMabenki haya ya ndani ni majizi sana ,Bank za nje hakuna huo upuuzi.
CRDB ni wezi sana ,Stanbic wapo vizuri.
[emoji1787]Bank ni majizi kwa matukio yaliyonikuta
Nilikuwa naweka kila wakati kama 10m au zaidi kwa mzunguko ya biashara
Sasa mnajua mteja anakuja kahesabu hela zake, na mimi nahesabu ninapopokea
Baadae nazihesabu tena ili ziende Bank hapo tumeisha hesabu mara 4
Unafika bank unampa teller anahesabu kwenye machine halafu anasema kuna 10,000 hakuna
Hapo unasema labda kweli unatoa mfukoni unampa
Ilijirudia kwa wafanyakazi kama watatu
Siku hiyo tumehesabu wawili hela zote kufika eti ten hamna
Nilipiga kelele na kuwaita wote waizi
Waliona aibu sana mpaka GM akaja kuniomba yaishe
Ila hawakuchukuliwa hatuwa zozote naona wote lao moja
Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]