Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Sasa mkuu atamblend naniπŸ˜‚πŸ«΄πŸΎTuko nae sambamba daily ndiomaana namshirikisha mambo yetuπŸ₯±
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waja wa JF utawawezaaa?
Wanaumia kwelii wakiniona hapa naswampaaaa!!
Itakua nili mblend yeye, tutajuaje sasa. Woiiiiuh.
 
Hiyo hali wengi tunayo. Ni dalili ya uvivu wa mwili kukataa kwenda kufanya kibarua/kazi usiyoipenda.

Dawa yake ni kubadili kazi ambayo utaikubali. Kujishauri kuamka asubuhi kutaisha.
 
Ile helicopter SIJUI iliishia WAPI huyo JAMAA alizani hapa na pale wese la EF KUMI linatosha SAHIV ukimuuliza anaweza kukupiga hata ngumi, hahahahahah😁
 
Unanifahamu? Hayo ni mazoea yenu alafu mi MTU tofauti sana napendaga KUWA tofauti sana na WENGINE mnaweza KUWA watano mnamili huo uchafu Kwa sifa za wepesi na Mimi mamiliko chuma changu MPAKA mnashangaa
 
Hitimisho:
Hela yako ndio inayoamua ununue gari ya aina gani. Hata kujenga vilevile hela yako ndio itaamua ujenge majengo wa aina gani.

Hii ya kusema gari hii ni mbovu sijui unakula mafuta ni kujifariji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…