mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Impossible missionSerikali irekebishe hospital zake kisha iachane na private
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Impossible missionSerikali irekebishe hospital zake kisha iachane na private
Ungejuwa Bugando na Kcmc siyo za serikali usingeandika huu ujinga.Impossible mission
Nakubaliana na wewe,hospitali nyingi za serikali zipo tangu uhuru lakini huduma siyo nzuri,Impossible mission
🙏Ungejuwa Bugando na Kcmc siyo za serikali usingeandika huu ujinga.
Labda kama wameanza siku hizi. Mama angu alitibiwa mwaka jana aghakhan na yeye ana bima ya nhif ya mtumishi. Gharama yake ya matibabu ilikua karibu laki 9.Upo sahihi mkuu Agakhan hawapokei NHIF nikasema sirudii tena kukata hiyo bimaHapana Agakhan hawapokei NHIF ninayo timiza nililipia 1m point something nilienda kwa ajili ya meno walinikatalia hawapokei nikaenda Hindu Mandal
Labda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sanaLabda kama wameanza siku hizi. Mama angu alitibiwa mwaka jana aghakhan na yeye ana bima ya nhif ya mtumishi. Gharama yake ya matibabu ilikua karibu laki 9.
Kitu kingine nhif watu wa bima za vifurushi wanakua kama wana nyanyapaliwa. Chunguza utakuja kuniambia
Hawana uwezo huo.Usisahau hata KCMC,BUGANDO NA MBEYA ni Private ..
Hospitali ya wahindi iliyokuwa inaleta shida na NHIF ni Aga Khan pekee ila mwaka juzi walikubali ila kwa bima zenye supplementary packages. Kumbuka NHIF ni sehemu ya wizara ya afya na hakuna hospitali inatoa huduma pasipo ruhusa ya wizara ya afya. Acha kukariri.Mbona kuna hospitali nyingi tu za binafsi hasa za Wahindi huwa hazipokei wagonjwa wenye Bima za afya za NHiF tangu zamani?
Nahisi Wahindi walishaweka wizara husika mfukoni mwao
Kwanza naomba uelewe, bima unaotumia ni ya kifurushi hivyo hata ungetoka nyumbani moja kwa moja kwenda Bugando, Muhimbili au Ekenywa ungekataliwa. Kufika huko ni kupitia mfumo wa rufaa tu. Ukishapewa rufaa ndio unaweza toka kwenye hospitali ya rufaa kwneda za kanda au taifa. Pili, Aga Khan wanapokea kadi za bima ya afya ya NHIF ila kwa wanachama wanaotumia packages za ziada na si za standard au vifurushi.Labda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sana
Mamilioni wapi wakati wanachama wa Toto Afya hawakufika hata 300,000 Tanzania nzimaSerikali imehujumu watoto wa nchi hii, imefuta BIMA toto. Mamilioni ya watoto wanapata tabu.
Rudisha Bima toto NHIF
Serikali walishakaa mezani na bado hawajafanya kama maridhiano.yalivyotakaLakini kugoma kuwapa huduma wachangiaji sio utu.Sehemu kubwa ya watoa maamuzi serikalini hawaathiriki na mgomo wenu. Rudisheni kwa wachangiaji halafu mtoe muda wa serikali kukaa na kuzungumza.Anayeumia ni bi shomvi ambaye yupo kule kjjn na mtoto wake ni mwalimu s/m matopeni
Hiyo barua wamekubaliana na Tarehe 27 barua ilitoka wakatoa tamko la pamoja ..sio private hospitals ni zipo chini ya CSSC, APHTA sio CSSC. Pia CSSC wametoa tamko kukubaliana na kitita usichanganye habari. Pia hilo tamko APHTA wamelikataa.
Nimetibiwa Aghakhani sana na nina NHIF mkuuLabda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sana
Huna ulijualo ni ushabiki shabiki tuSerikali imehujumu watoto wa nchi hii, imefuta BIMA toto. Mamilioni ya watoto wanapata tabu.
Rudisha Bima toto NHIF
You guys are too greedyHiyo barua wamekubaliana na Tarehe 27 barua ilitoka wakatoa tamko la pamoja ..
Ila baada ya Serikali kuwakalia kooni CSSC na BAKWATA wametema Ndoano tumebaki APHTA peke yetu..
Ila mwanzo tulikubaliana wote..
Soma hiyo barua..
Na weww hujiulizi kwanini hawakutoa Tamko Tarehe 27 na 28 watoe leo..
Na kama unakumbuka hata chama cha madaktari MAT nao waliwahi kupinga hicho kitita kwa barua na kemeo ila unashangaa kwanini leo nao wamesema wanakubaliana halafu nyuma walipimga kwa barua?
Wewe haikupi Red flag hiyo?
Siasa ni Mchezo mchafu snaa
This mgomo itasaidia sana hospitali za umma kupata chance ya kushowcase improvements zote hasa wards service na general admissionsNimetibiwa Aghakhani sana na nina NHIF mkuu
Sasa mkuu waendelee kutoa huduma,hebu cheki mtu anatumia sh 100 kutoa huduma analipwa 40 baada ya miezi atakua na biashara tena?.Lakini kugoma kuwapa huduma wachangiaji sio utu.Sehemu kubwa ya watoa maamuzi serikalini hawaathiriki na mgomo wenu. Rudisheni kwa wachangiaji halafu mtoe muda wa serikali kukaa na kuzungumza.Anayeumia ni bi shomvi ambaye yupo kule kjjn na mtoto wake ni mwalimu s/m matopeni
Unafahamu kwa Dar es Salaam asilimia 79 ya vituo vya kutolea huduma za afya ni vya binafsi? Kama watoa huduma wa vituo wakiitikia wito wa huu mgomo kikamilifu madhara yake yatakuwa makubwa sanaThis mgomo itasaidia sana hospitali za umma kupata chance ya kushowcase improvements zote hasa wards service na general admissions
Kwanza hospitals kama aga khan waishakua haters wa NHIF
I predict this to be a huge blow kwa private hospitals and a boom for public and NHIF
Private we’re harvesting huge money for little services
Sasa mgomo umeibuka Sio tu wa NHIF Bali hakuna Mgonjwa atakayepokelewaYou guys are too greedy
Naomba serikali ikaze kamba hasa kwenye kodi ya mapato, exemptions na bei zenu hadi tukae sawa