Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakataa. Aghakhan hiyo hiyo ya ocean road wanapokea bima za nhif itakua ambazo hawapokei ni za vifurushi kama najali, wezesha. Lakini jua kua kwenye bima ya nhif kuna za VIP.Labda ulienda zile polyclinic za aga khan ila aga khan yenyewe hawapokei nhif miaka mingi sana
Nashangaa watu wanaobisha.Nimetibiwa Aghakhani sana na nina NHIF mkuu
Boss soma nauelewe, tamko wamelitoa hii jioni na ni APHTA tu sio hao wengine. Kikao kimefanyika saa nane mchana, hiyo barua waliipinga. CSSC, BAKWATA na MAT wote hawana shida wamekubali kitita husika na barua mpya wameitoa hii jioni. Tufuatilie habari vizuri.Hiyo barua wamekubaliana na Tarehe 27 barua ilitoka wakatoa tamko la pamoja ..
Ila baada ya Serikali kuwakalia kooni CSSC na BAKWATA wametema Ndoano tumebaki APHTA peke yetu..
Ila mwanzo tulikubaliana wote..
Soma hiyo barua..
Na weww hujiulizi kwanini hawakutoa Tamko Tarehe 27 na 28 watoe leo..
Na kama unakumbuka hata chama cha madaktari MAT nao waliwahi kupinga hicho kitita kwa barua na kemeo ila unashangaa kwanini leo nao wamesema wanakubaliana halafu nyuma walipimga kwa barua?
Wewe haikupi Red flag hiyo?
Siasa ni Mchezo mchafu snaa
Barua hii ya jana juzi uliiona???Boss,
Boss soma nauelewe, tamko wamelitoa hii jioni na ni APHTA tu sio hao wengine. Kikao kimefanyika saa nane mchana, hiyo barua waliipinga. CSSC, BAKWATA na MAT wote hawana shida wamekubali kitita husika na barua mpya wameitoa hii jioni. Tufuatilie habari vizuri.
Barua hii ya jana juzi uliiona???
View attachment 2920551
Vipi kuhusu Maoni Ya Chama cha madaktari MAT mwaka jana 19 December 2023..
View attachment 2920553
Hiyo barua hawakuipinga ila walitoa tamko lao..Chief nilishakwambia hiyo barua waliipinga asubuhi, kikao kilikaa mchana leo na ni APHFTA tu. Hao wengine walishakubaliana, CSSC ndio walijitenga kabisa na raisi wa MAT alishatoa tamko. Bakwata pia hawana shida maana walishatoa tamko la kukubali. Ndio maana jioni ya leo kuna tamko kutoka kamati ya bunge lililo address kuhusu maamuzi ya APHTA ila hawakugusia wengine.
Hii itawatesa sana private hospitalsSasa mgomo umeibuka Sio tu wa NHIF Bali hakuna Mgonjwa atakayepokelewa
Umetoa data wapi?Unafahamu kwa Dar es Salaam asilimia 79 ya vituo vya kutolea huduma za afya ni vya binafsi? Kama watoa huduma wa vituo wakiitikia wito wa huu mgomo kikamilifu madhara yake yatakuwa makubwa sana
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu anayesahau kiwepesi kama Mtanzania..Mtanzania ana akili za kuku..Hii itawatesa sana private hospitals
Mtanzania hasahau kirahisi unapomfanyia ubaya
Ujumbe umeupata ..funika domo lako Hilo ufiche upumbavu wako!!Umejibu vizuri sana na ningependa tuendelee na mjadala.
Ni hivi mimi mpumbavu ndiye namfira mama yako.
Kwa mema huwa anasahau haraka, ila kWa mabaya utakuja kuniambiaHakuna mtu anayesahau kiwepesi kama Mtanzania..Mtanzania ana akili za kuku..
Mtanzania Kufikia mwakani atakuwa ameshasahau ugumu wa maisha na Mgao wa umeme na sukari pia..
Tanzania Wananchi wake ni wanasahahu kuliko wanachi wowote na hio ndo chance serkali huitumia
Siwezi kufunika domo kwa raha anazonipa mama yako,huna ujumbe wowote ndiyo maana unakimbilia kutukana na mimi watu kama wewe uwa siwacheleshi.Uju
Ujumbe umeupata ..funika domo lako Hilo ufiche upumbavu wako!!
Onesha barua walioipingaChief nilishakwambia hiyo barua waliipinga asubuhi, kikao kilikaa mchana leo na ni APHFTA tu. Hao wengine walishakubaliana, CSSC ndio walijitenga kabisa na raisi wa MAT alishatoa tamko. Bakwata pia hawana shida maana walishatoa tamko la kukubali. Ndio maana jioni ya leo kuna tamko kutoka kamati ya bunge lililo address kuhusu maamuzi ya APHTA ila hawakugusia wengine.
Boss tafuta tamko lao, pia tafuta barua yao ya pili baada ya kikao chao cha jana saa nane. Ukishindwa basi siwezi kukusaidia zaidi ya hapo. Uamuzi ni wa APHFTA tu hao wengine humo hawahusiki ndio maana hiyo barua ikawekwa pembeni. CSSC, BAKWATA na MAT hawausiki humo.Onesha barua walioipinga