Wenye kuhitaji kufanya biashara Ujerumani, Uswisi na Austria tuwasiliane

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika. Matangazo ya biashara yatakuwa katika lugha ya Kijerumani.

Nimefanya miaka mingi kwenye biashara ya utalii na Sasa nataka kushirikiana na wafanya biashara wa sekta zingine. Kama una bidhaa au huduma yoyote unataka kuitangaza kwenye nchi hizo zinazotumia lugha ya Kijerumani tuwasiliane.

Kwa Whatsapp napatikana 0676434611. For calls mara nyingi natumia 0776655978. Kuhusu gharama tutajadili baada ya kujua biashara yako ila kwa kuanza gharama ni ndogo sana na kwa kweli nafanya tu kama huduma. Utakacholipa ni kidogo sana niweze pia kuwapa chochote wasaidizi wangu. Biashara ikienda vizuri utanilipa commission kwa kila biashara unayofanya. Nawasilisha.
 
Sawa nadhani watakuja whatsapp kwa ufafanuzi zaidi
 
Umekosea tittle:

"Wanaotaka kutapeliwa kimasihara Njono Huku"
 
Siwezi kukuzuia kuwaza kadiri ya akili yako. Huo ni uhuru wako
 
Back
Top Bottom