Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wakuu,

Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k

Naomba kuuliza mbinu ambazo mtu anaweza kuzitumia iliaweze kupata kazi na kutengeneza jina mapema kadri iwezekanavyo hasa pale anapoanza kujishughulisha na kazi hizi au pale anapabadili soko ( kutoka mkoa au wilaya moja kwenda nyengine).

Tupeane tips za kupata milango ya kupata kazi kwa uharaka zaidi hasa ukiwa kwenye soko jipya...

Karibuni.....
 
Back
Top Bottom