Wasalaam nyote,
Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya.
Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie liliwezaje kufanya haya mauaji, je kama ni syndicate dhamira yao ni nini hasa?
Iweje Msitu uzikwe mamia kiasi hicho je Kenya imelala au Kenya kuna unyama sana?
Karibuni tusikie kitu magazeti bado hayana taarifa za kueleweka vizuri.
Mungu atusimamie.
Wadiz