Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam nyote,

Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya.

Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie liliwezaje kufanya haya mauaji, je kama ni syndicate dhamira yao ni nini hasa?

Iweje Msitu uzikwe mamia kiasi hicho je Kenya imelala au Kenya kuna unyama sana?

Karibuni tusikie kitu magazeti bado hayana taarifa za kueleweka vizuri.

Mungu atusimamie.

Wadiz
 
Kabisa mimi nawashangaa sana.

Muislamu akifanya tendo baya unashambuliwa uislamu.

Mackenzie alichotenda ni zaidi ya unyama kwa vile ni mkristo mwenzao wote wamejificha kwa aibu!
Wapo wale pia waliokufa kwa kukanyagana wakigombania kukanyaga mafuta ya upako!
 
Sijui ilikuwaje kuwaje yani kisa hiki story yake yupo mtu anaijuwa
 
Back
Top Bottom