Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

Wenye LINE nyingi za simu mnakera sana..!

Mkazi wa Dar hawezi elewa kwanini watu wa mikoani tuna Line nyingi.

unaweza safiri toka Musoma mjini ukaenda Serengeti huko ndani ndani ukakuta hakuna mtandao wa Tigo, ukahamia Voda for a short time
 
  • Thanks
Reactions: apk
Wengi wenye ma line mengi wala hawana kazi yoyote ni basi tu kutuchosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hawana permanent contact;

Leo ana tigo ofa ikiisha anatupa line
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20211228-205307.png

Dont ask me why!
Line 2 zote za Tigo.
....
line 1 ina Data za kufa mtu
line 2 naijaza Dakika!
Screenshot_20211228-205307.png


Screenshot_20211228-205436.png


line ya pili.. FULL DATA KWA WIKI 2.
Screenshot_20211228-205418.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Hawana permanent contact;

Leo ana tigo ofa ikiisha anatupa line
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni dalili ya umasikini 🤣🤣🤣
 
KUWA KAMA MIMI, NAPOKEA NAMBA NILIYO KUSAVE.
KINYUME NA HAPO ENDELEA KUPIGA KADRI UTAKAVYO WEZA(HII INATEGEMANA NA KAZI YAKO)
Kwanini haupokei namba ngeni?
 
Alafu mtoto wa kiume ni marufuku hutumia hili neno "Jamani" limekaa kimalalamiko lalamiko ya kike Kaza, huwezi kuelewa umuhimu wa line nyingi kama ukiamka asubuhi unavaa soksi na malapa huku ukisubiri shemeji yako aende kazini ili umfate dada akupe buku mbili ukafate mkate kwa mangi.
 
No yako moja tu sipigi wala Whatsapp mpk nipende mimi, we piga tu kwangu itaita nakausha.una no nne ndo kabisa wala hatutawasiliana wala hutaniskia kabisa.
Nikuweka rules tu.
 
Wanaacha kupokea simu kisa namba ngeni wengi wao ni matapeli na sio waaminifu kwa wenza au wapenzi wao!
Sasa sijui wewe upo kundi gani mkuu?!!
 
Nawale mabingwa wa kubadilisha line. Unapiga unaambiwa haipo kumbe alishabadilisha line, hovyo kabisa.
 
Nawale mabingwa wa kubadilisha line. Unapiga unaambiwa haipo kumbe alishabadilisha line, hovyo kabisa.
Kuna watu wa ajabu! Yeye akishapoteza line hana muda wa kurenew kabisa. Anachofanya ni kumtafuta wakala fasta asajili mpya. Yaani kwa kifupi hana cha kupoteza akipoteza mawasiliano yake.
 
Sasa ukiwa na line zote hizo mtu anakutafuta vipi, au mtu atajuaje saizi upo mtandao gani.? Na je kila ukihama mtandao ina maana na watu wote unawaambia sasa nimehamia airtel au unawaacha kule voda?
Watoto ndo wenye muda na huo ujinga.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na line 5.
 
" Unasemaje sijakupigia, kwani hukuona namba ya tiGO imeku miss call..?"
tatizo sasa hivi namba mpya wanazotoa tigo airtel na voda, hata huwezi jua ni mtandao gani.

sijui kwa nini wanashindwa ku maintain namba tatu za mwanzo.
 
Back
Top Bottom