Wenye "madingi" wakali tukutane hapa


Hahahahahahahahahababahabababababahahahahaha daahh umenifurahisha saaaaan asee mzee wako kiboko
 

Hahahahahahahahahahahahahahahaabahahahahahahahahahahahahahah, daah nacheka mpaka watu wananishangaa asee
 
Ukali Wa Mzee wangu umesababisha mpk Leo hatupatani!! Hatuna story zaidi ya salamu tu!!
kama mimi kijana angu yanii sina nae story kabisa mpaka saizi si mkubali hata kidogo na maza ndo kaniaje tumebaki wawili ndoo kabisa
 
Kama kuna mwenyeji wa chuo cha Kilimo na ofisi za utafti Tumbi tabora! 2007 mpaka 2016 asikwambie mtu yule mzee wangu hafai mpaka leo,alikuwa maekosana na wafanya kazi woote,kila mtu ni adui, mpaka sisi watoto ndani hakukaliki! Changanya na ule urokole ndo kabisaaa! Siku moja mdogo wangu akaja amevaa mzura kapewa na rafiki yake! Aliambiwa asiguse ndani na uchafu wake arudi mwanza !ara moja,dogo taratibu akaanza safari saa tisa jioni kurudi kwa ma mdogo! Hata niishiwe mpaka mia home siwezi kurudi mimi
 
hahahahhahaa huyo mzee mpaka leo yuko au
 
na bado anatabia zile zile au
 
Kwakweli nimecheka sana, khaaa ila madingi wa zamani walikuwa ni wazee wa mishoosho. Hawa wa siku hz hakuna kitu kbs.

hhhaha mie mwenyewe nimecheka !mie had leo na utu uzima namuogopa baba vibaya mno hakawii kunibadilikia !mie had 23 yrs nilipigwa na baba !jaman yule msukuma mkali sina hamu naye jaman ! wababa wa sasa hv zero kbs !mume wangu hajawah hata mfiya mwanaye akikosea !ananimind kweli ikikong'ota toto lake !dah km kuoigwa jaman enzi zxetu tulipigwa !
live long baba
 
safi sana
 
Kastaafu mwaka Jana Mkuu! Tabia zako pale pale Mkuu usiombe! Sijawahi na sitathubutu kupeleka rafiki home maana najua atapata tabu! Huyo mchumba tu ili kuwe na amani ni Kumpa taarifa tu kuwa tayari tuna watoto
au ndo ileee baba nina mchumba ushafika stend na mizigo unasikilizia. maana unajua hachelewi
 
Kastaafu mwaka Jana Mkuu! Tabia zako pale pale Mkuu usiombe! Sijawahi na sitathubutu kupeleka rafiki home maana najua atapata tabu! Huyo mchumba tu ili kuwe na amani ni Kumpa taarifa tu kuwa tayari tuna watoto


hahahaha tupp wengi dah !madingi hawa jaman ! na mie ilikua marufuku kuleta rafiki hom !labda asikie huyu rafiki ni genius darasan atamkubali !lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…