MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
ah nilirudi tu !niende wapi? ndugu waoga kunipokea !hahaha wanajua yatakayowakuta !ila serius mie imenisaidia sana ingawa had leo nikiona simu yake naogopa bado ! nw am married kaheshima kapo kakubwa !ila vipi ulirudi au
nakumbuka siku nimewaambia kuna mtu anataka kuja hom kujitambulisha !hahaha nilikalishwa masaa naulizwa elimu yake ! hahahahaa !alisema km ana degree moja mwambie aendelee kusoma asje hapa !lol !
na alipokuja alimhoji san sana had ukoo wake ! hatarius