Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Una jina zuri,,Duh wazee wa zamani kiboko... Mimi kwa bahat mbaya wazaz wangu walifariki ningali mdog mnoo RIP MAMA na BABA. Ila nimelelewa na mama yangu mdg jamani alikua anachapa kosa dogo tuh anakuchapa had majilan wanamuachanisha lkn wapi.
Nakumbuka Christmas ya 2007 cku iyo aliandaa maandaz sasa alipanga yatumike wiki nzima kama mjuavyo ckukuu chakula kinapikwa watu wanakula na kufurahiaa nakadhalika watu wote waliondoka nyumban nikabaki mimi pekeangu, akaja mama mmoja na mmewe wakaniomba chakula nikawapa wakala wakat wanataka kuondoka nikawachotea maandaz kdg kwenye mfuko wakaondoka. Jion mamdg alivolud aliona maandaz yamepungua akaniuliza nan kagawa maandaz nikajib n mimi mamdg alinichapa nusu kuniua
Sitasahau aisee kile kipondo kwa bahati mbaya bado hajabahatika kupata mtt labda ni vile hajui uchungu wa mwana maana dah stakaa nimsahau mamdg wangu.
Natamani kuja DM.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app