Ramtz Jr
JF-Expert Member
- Jun 18, 2026
- 269
- 529
Wenye magonjwa makubwa tuliwazane hapa
Kama una ugonjwa mkubwa wowote ule njoo hapa tuliwazane hata huna pia unaweza kupitia hapa na kutoa pole kwa member wagonjwa binafsi
Nasumbuliwa na VIDONDA vya tumbo na KIFUA sugu hospitali hakionekani lkn kinauma balaa.
Pia tupeane mbadala wa dawa huenda kuna member humu anajua dawa inayosaidia ugonjwa fulani akatoa maoni na maelekezi jina la dawa n.k
Tusibezane bali tupeane faraja
Karibuni!: