Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Nina sumbuliwa na Bawasiri ya ndani ila haiumi wala kutoa damu ila inatoka wakati wa kujisaidia hasa nikiwa na Haja ngumu
Naomba ushauri
Naomba ushauri
Una rangi fulani kama bluu bahari na mara nyingi unatumika kulishia wanyama kama sungura, nguruwe n.k?Nimejaribu kupandisha picha lakini inakataa sijajua tatizo ni nini ila ni mmea umjaa mitaani tu ni kama magugu tu na ukiulizia watu wengi wanaujua.
Exactly!Sijui kama utaelewa
Vidonda vya tumbo:Tafuta majani ya mashona nguo,pika kama chai kunywa asubuhi kikombe kimoja na jioni kimoja
Kifua sugu:karafuuu,mdalasini na tangawizi
Sema na jf nao wanazungua yaani ningekuonesha picha ungekajua hako ka mmea yaani kamejaa mitaani nata hapo nyumbani kwako unaweza kuta vimeota hapo nje.Una rangi fulani kama bluu bahari na mara nyingi unatumika kulishia wanyama kama sungura, nguruwe n.k?
SawaSema na jf nao wanazungua yaani ningekuonesha picha ungekajua hako ka mmea yaani kamejaa mitaani nata hapo nyumbani kwako unaweza kuta vimeota hapo nje.
Kinaota kwa kutambaa chini na kinakuwa na majani yake yana rangi ya kijani iliyo changanyikana na zambarau.
Ebu jaribu kuangalia kwenye gugo watakuleta picha yake.
Pole! Kama unahisi ni TB, nenda Kibongoto hospital/Moshi maana wame-specialize kwenye hilo. Na kama sikosei huduma zinazohusiana na TB wanatoa bure, ikiwemo vipimo na tiba.TB sijapima mkuu rabda nikapime ilahali ngumu mkuu hata dawa ninazomezaga nakosaga
www.kidh.go.tz
Pole sana.Ogopa ugonjwa unaoitwa menieres. Hiyo kitu ni habari nyingine unatamani kichwa wakikate kitupwe
Nichek umepona, achana na anusol suppotiries , anusol ointment... Then utakuja kuleta mrejesho.Nina sumbuliwa na Bawasiri ya ndani ila haiumi wala kutoa damu ila inatoka wakati wa kujisaidia hasa nikiwa na Haja ngumu
Naomba ushauri
Mkuu kuna mdau amekuwekea picha yake hapo chini bila shakq utakuwa umekajua.Sawa
Ang'oe huo mmea na mizizi yake, aoshe kisha anachemsha halafu anakunywa kikombe kimoja cha chai kila siku kutwa mara tatu bila kurukisha siku (mfululizo)vzr sana sawa mana hata mdogo wangu kaka wana pumu pia shukran kwa skreenshot
Pole sana, Kama hauna TB Au AIDS, nitafute mwezi wa Tisa nikupe tiba ya kifua mkuu.Wenye magonjwa makubwa tuliwazane hapa
Kama una ugonjwa mkubwa wowote ule njoo hapa tuliwazane hata huna pia unaweza kupitia hapa na kutoa pole kwa member wagonjwa binafsi
Nasumbuliwa na VIDONDA vya tumbo na KIFUA sugu hospitali hakionekani lkn kinauma balaa.
Pia tupeane mbadala wa dawa huenda kuna member humu anajua dawa inayosaidia ugonjwa fulani akatoa maoni na maelekezi jina la dawa n.k
Tusibezane bali tupeane faraja
Karibuni!: