Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,765
- 4,879
apo ndiyo namimi nakazia, mtu kwenda hospitali ya wilaya tu, anaweza ona kwamba awajaona kitušHivyo vidonda wamepima nini?
Kifua sugu cha aje? Hakionekani vipi hosp?
apo ndiyo namimi nakazia, mtu kwenda hospitali ya wilaya tu, anaweza ona kwamba awajaona kitušHivyo vidonda wamepima nini?
Kifua sugu cha aje? Hakionekani vipi hosp?
Em sema exactly unavyojisikia.. I mean dalili..Rabda vpimo vingine ila X-ray hakijaona ugonjwa wakapima tumbo kwa Nutresound ndo wakagundua ni vidonda wakanipa dawa lakini hazijasaidia
Vidonda vya tumboni havipimwi kwa Ultrasound ndugu, hebu nenda hospital inayoeleweka. Kipimo cha kuthibitisha vidonda vya tumboni ni mpira unamezeshwa una camera, ile camera inaonesha huko ndani kupoje kama kuna vidonda au hamna. Ila ultrasound sio kwa kuthibitisha uwepo wa vidonda vya tumboni mkuu.Rabda vpimo vingine ila X-ray hakijaona ugonjwa wakapima tumbo kwa Nutresound ndo wakagundua ni vidonda wakanipa dawa lakini hazijasaidia
Dah nimejaribu kupandisha picha yake inagoma sijajua tatizo nini .Mkuu weka hata picha ya huo mmea mana jina geni ila ukiweka picha ni rahisi kuupata
TB sijapima mkuu rabda nikapime ilahali ngumu mkuu hata dawa ninazomezaga nakosagahizo bado hospitali za level ya chini nenda level ya rufaa uonane na Pulmonologist (kwa tatizo la kifua), hilo la madonda ya tumbo mbona linatibika, inabidi useme umetumia dawa gani? Pia tatizo la kifua halionekani kwa maana ipi, walifanya xray? walifanya TB score, n.k?
Kuna wakati kinabana napumua kwa shida kuna muda nakohoa usiku mzima silali vichomi kifuani kuna wakati nakoho kikohoz kikavu kuna wakati nakohoa kikohoz natoa makohozEm sema exactly unavyojisikia.. I mean dalili..
Unaposema kifua sugu una maanisha nini? Kinauma.. kinabana.. unakohoa.. au?
Priton mimi pia huwa inanifaa sanaPole mkuu priton chap inasaidia nenda DLDM kanunue
Ngoja nikakatafute kabla giza halijaingia SHUKRAN!Dah nimejaribu kupandisha picha yake inagoma sijajua tatizo nini .
Ila mziwa ziwa ni kimmea fulani hivi kidogo kinasitawi kwa kutambaa chini na hata kikisitawi kwa kwenda juu ni kifupi na huwa na mitaani vimejaa vingi sana.
Ww jaribu kuulizia watu wengi watakuwa wanakajua.
Uzi huu ulikuwa mzuri ila watu mshaanza masihara šNyege ni ugonjwa mkubwa wa kudumu
Ungeweka picha ya mmea ungesaidia wengiHata mm vidonda vya tumbo vimenisumbua karibia ni mwaka mzima na nimetumia dawa nyingi za kienyeji na hospital ila kwa sasa naendelea vizuri baada ya kukomaa na dawa za kienyeji.
Kwa ishu yako ya didonda vya tumbo ebu jaribu kutafuta mmea mmoja unaitwa mziwaziwa ungoe na mizizi yake alafu ioshe na uichemshe na maji alafu uwe unakunywa mara tatu kwa siku na unywe ikiwa ya uvuguvugu isisubili ikapoa sana kipimo ni kile kikombe cha nusu lita.
Kuywa kwa wiki 4 mpaka sita uone matokeo na hakikisha hupitishi siku hata moja bila kunywa kutibu vidonda vya tumbo kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Hapa kwenye kufua mashuka ndio penyewe ššUsiwe unakanyaga tiles peku.. vaa indoor sliper or soksi. Ama carpet nyumba nzima..
Na ufue mashukašš
Ulizia watu wanao jua usije ukachukua mmea mwingine mkuu alafu ukifanikiwa kupata jitahidi kunywa kwa muda mrefu kidogo huwa inaanza kuonesha matokeo kuanzia wiki mbili mpaka tatu.Ngoja nikakatafute kabla giza halijaingia SHUKRAN!
Nimejaribu kupandisha picha lakini inakataa sijajua tatizo ni nini ila ni mmea umjaa mitaani tu ni kama magugu tu na ukiulizia watu wengi wanaujua.Ungeweka picha ya mmea ungesaidia wengi