Mkuu bado sijaelewa naomba unielekeze tena.Nichek umepona, achana na anusol suppotiries , anusol ointment... Then utakuja kuleta mrejesho.
Kuna dawa story ni ndefu kidogo.. nikiwa kama mdau wa afya waandamizi senior nichek tuzungumzee
Kwa hizo dalili ulizosema yawezekana hata wewe una pumu. Kila la heri mkuu update uponyajivzr sana sawa mana hata mdogo wangu kaka wana pumu pia shukran kwa skreenshot
Nashukuru mkuu nimeuona. Ila kwenye real life sijawahi kuuona huo mmeaMkuu kuna mdau amekuwekea picha yake hapo chini bila shakq utakuwa umekajua.
Nina muhogo mkubwa kupitiliza. Je, utauhimili?ugonjwa wangu mkubwa ni MIHOGO.
Kila nikiona MUHOGO napagawa naweza hata kuutafuna mzima mzima.
Tunzeni mihogo hiyo vizuri kwenye mabakuli yenu, nitaitafuna haswaa shenzi nyie.
Cc: Mbaga Jr secretarybird
Wewe tyyyyuuu 🤣Nina muhogo mkubwa kupitiliza. Je, utauhimili?
Naomba jibu langu haraka.
Kaa tayari 💪🔥.Wewe tyyyyuuu 🤣
Upo sahihi niliwahi shuhudia mtu akitumia mziwaziwa na mti flan unatabia ya kutanda ila shina lake chini ni ngumu kuliona unaitwa ututu kanga na ameoona kabisa..Hata mm vidonda vya tumbo vimenisumbua karibia ni mwaka mzima na nimetumia dawa nyingi za kienyeji na hospital ila kwa sasa naendelea vizuri baada ya kukomaa na dawa za kienyeji.
Kwa ishu yako ya didonda vya tumbo ebu jaribu kutafuta mmea mmoja unaitwa mziwaziwa ungoe na mizizi yake alafu ioshe na uichemshe na maji alafu uwe unakunywa mara tatu kwa siku na unywe ikiwa ya uvuguvugu isisubili ikapoa sana kipimo ni kile kikombe cha nusu lita.
Kuywa kwa wiki 4 mpaka sita uone matokeo na hakikisha hupitishi siku hata moja bila kunywa kutibu vidonda vya tumbo kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Utakuwa muathirika wewe si bure🙄Mimi nna mafua
Uzuri ww ndo uliniambukiza 😎Utakuwa muathirika wewe si bure🙄