Hospital 3 tofauti hosptal kuu ya walaya korogwe kwa wenyeji wanajua hosp ya handeni pia hakionekani nateseka sijui tb au?Unaposema hospital hakionekani unamaanisha Nini!? Umeenda hospitali Gani!? Sina hakika kama hayo uliyotaja ni magonjwa makubwa
Hospital 3 tofauti hosptal kuu ya walaya korogwe kwa wenyeji wanajua hosp ya handeni pia hakionekani nateseka sijui tb au?
Mkuu weka hata picha ya huo mmea mana jina geni ila ukiweka picha ni rahisi kuupataHata mm vidonda vya tumbo vimenisumbua karibia ni mwaka mzima na nimetumia dawa nyingi za kienyeji na hospital ila kwa sasa naendelea vizuri baada ya kukomaa na dawa za kienyeji.
Kwa ishu yako ya didonda vya tumbo ebu jaribu kutafuta mmea mmoja unaitwa mziwaziwa ungoe na mizizi yake alafu ioshe na uichemshe na maji alafu uwe unakunywa mara tatu kwa siku na unywe ikiwa ya uvuguvugu isisubili ikapoa sana kipimo ni kile kikombe cha nusu lita.
Kuywa kwa wiki 4 mpaka sita uone matokeo na hakikisha hupitishi siku hata moja bila kunywa kutibu vidonda vya tumbo kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Njoo pm nikupe dawaugonjwa wangu mkubwa ni MIHOGO.
Kila nikiona MUHOGO napagawa naweza hata kuutafuna mzima mzima.
Tunzeni mihogo hiyo vizuri kwenye mabakuli yenu, nitaitafuna haswaa shenzi nyie.
Cc: Mbaga Jr secretarybird
Usiwe unakanyaga tiles peku.. vaa indoor sliper or soksi. Ama carpet nyumba nzima..Mimi nna mafua
Labla hapa 😎Na ufue mashuka😀😀
Hivyo vidonda wamepima nini?Nasumbuliwa na VIDONDA vya tumbo na KIFUA sugu hospitali hakionekani lkn kinauma balaa
hizo bado hospitali za level ya chini nenda level ya rufaa uonane na Pulmonologist (kwa tatizo la kifua), hilo la madonda ya tumbo mbona linatibika, inabidi useme umetumia dawa gani? Pia tatizo la kifua halionekani kwa maana ipi, walifanya xray? walifanya TB score, n.k?Hospital 3 tofauti hosptal kuu ya walaya korogwe kwa wenyeji wanajua hosp ya handeni pia hakionekani nateseka sijui tb au?