Wenye magonjwa makubwa karibu tuliwazane na kujulishana dawa

Rabda vpimo vingine ila X-ray hakijaona ugonjwa wakapima tumbo kwa Nutresound ndo wakagundua ni vidonda wakanipa dawa lakini hazijasaidia
Vidonda vya tumboni havipimwi kwa Ultrasound ndugu, hebu nenda hospital inayoeleweka. Kipimo cha kuthibitisha vidonda vya tumboni ni mpira unamezeshwa una camera, ile camera inaonesha huko ndani kupoje kama kuna vidonda au hamna. Ila ultrasound sio kwa kuthibitisha uwepo wa vidonda vya tumboni mkuu.
 
Mkuu weka hata picha ya huo mmea mana jina geni ila ukiweka picha ni rahisi kuupata
Dah nimejaribu kupandisha picha yake inagoma sijajua tatizo nini .
Ila mziwa ziwa ni kimmea fulani hivi kidogo kinasitawi kwa kutambaa chini na hata kikisitawi kwa kwenda juu ni kifupi na huwa na mitaani vimejaa vingi sana.
Ww jaribu kuulizia watu wengi watakuwa wanakajua.
 
TB sijapima mkuu rabda nikapime ilahali ngumu mkuu hata dawa ninazomezaga nakosaga
 
Em sema exactly unavyojisikia.. I mean dalili..

Unaposema kifua sugu una maanisha nini? Kinauma.. kinabana.. unakohoa.. au?
Kuna wakati kinabana napumua kwa shida kuna muda nakohoa usiku mzima silali vichomi kifuani kuna wakati nakoho kikohoz kikavu kuna wakati nakohoa kikohoz natoa makohoz
 
Ngoja nikakatafute kabla giza halijaingia SHUKRAN!
 
Ungeweka picha ya mmea ungesaidia wengi
 
Mimi nina alergy na sabuni yaani nikiiona sabuni tuu kuna hali flani ya tofauti naiskia hasa hasa hizi sabuni za kipande🏃🏃🏃
 
Ngoja nikakatafute kabla giza halijaingia SHUKRAN!
Ulizia watu wanao jua usije ukachukua mmea mwingine mkuu alafu ukifanikiwa kupata jitahidi kunywa kwa muda mrefu kidogo huwa inaanza kuonesha matokeo kuanzia wiki mbili mpaka tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…