Wenye magonjwa makubwa karibu tuliwazane na kujulishana dawa

Ulizia watu wanao jua usije ukachukua mmea mwingine mkuu alafu ukifanikiwa kupata jitahidi kunywa kwa muda mrefu kidogo huwa inaanza kuonesha matokeo kuanzia wiki mbili mpaka tatu.
Sawa mkuu
 
Nimejaribu kupandisha picha lakini inakataa sijajua tatizo ni nini ila ni mmea umjaa mitaani tu ni kama magugu tu na ukiulizia watu wengi wanaujua.
Una rangi fulani kama bluu bahari na mara nyingi unatumika kulishia wanyama kama sungura, nguruwe n.k?
 
Una rangi fulani kama bluu bahari na mara nyingi unatumika kulishia wanyama kama sungura, nguruwe n.k?
Sema na jf nao wanazungua yaani ningekuonesha picha ungekajua hako ka mmea yaani kamejaa mitaani nata hapo nyumbani kwako unaweza kuta vimeota hapo nje.
Kinaota kwa kutambaa chini na kinakuwa na majani yake yana rangi ya kijani iliyo changanyikana na zambarau.

Ebu jaribu kuangalia kwenye gugo watakuleta picha yake.
 
Sawa
 
Mziwaziwa. Unafaa kwa mgonjwa wa pumu pia
 

Attachments

  • Screenshot_20260624-180427.jpg
    155.2 KB · Views: 14
Nina sumbuliwa na Bawasiri ya ndani ila haiumi wala kutoa damu ila inatoka wakati wa kujisaidia hasa nikiwa na Haja ngumu

Naomba ushauri
Nichek umepona, achana na anusol suppotiries , anusol ointment... Then utakuja kuleta mrejesho.

Kuna dawa story ni ndefu kidogo.. nikiwa kama mdau wa afya waandamizi senior nichek tuzungumzee
 
KAMBAKO PIA MWENYE KUJUA DAWA YA KUTIBU MANA KICHWA KIKIANZA KUUMA HATA UMEZE DAWA GANI KUNA MAVUO LKN YANAPUNGUZA TU
 
vzr sana sawa mana hata mdogo wangu kaka wana pumu pia shukran kwa skreenshot
Ang'oe huo mmea na mizizi yake, aoshe kisha anachemsha halafu anakunywa kikombe kimoja cha chai kila siku kutwa mara tatu bila kurukisha siku (mfululizo)
 
Dawa ya kiriba tumbo inaitwaje waungwana?
Napata shida sana nacho hasa pale watu wanaponisifia kwamba mambo yangu siku hizi eti yamenyooka.

Mtu mwenyewe nimepigika yaani nina mwaka wa pili sijakamata msimbazi hata siku moja. Mimi ni mtu wa buku au buku mbili baasi.
 
Pole sana, Kama hauna TB Au AIDS, nitafute mwezi wa Tisa nikupe tiba ya kifua mkuu.
 
Ang'oe huo mmea na mizizi yake, aoshe kisha anachemsha halafu anakunywa kikombe kimoja cha chai kila siku kutwa mara tatu bila kurukisha siku (mfululizo)
Sawa nitaanza kutumia nikipona nitaleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…