Wenye magonjwa makubwa karibu tuliwazane na kujulishana dawa

Nashauri kuhusu tiba natural ya vidonda vya tumbo mimi nilikuwa mhanga ila sahivi nina high appetite ya ajabu iko hivi

Tafuta parachichi la asili kabisa lichukue alafu toa kokwa lake then ulikate vipande vipande alafu usage kwenye brender hata lile la kusagia nyanya hadi kuwa unga unga alafu ukaushe huo unga ndani sio nje then utakuwa unaweka huo unga either kwenye uji au chai ,ila hakikisha hutumii majani ya chai yale ya dukani kwa sababu ni mojawapo ya vichochezi vya vidonda vya tumbo its better utumie mchaichai

Pia upunguze matumizi ya vyakula vinavyochochea vidonda vya tumbo ikiwemo pilipili, maharage ,limao,chips,wali n.k bali pendelea kula ugali wa dona,viazi vitamu ,bamia na vingine vingi.Ukizingatia hivi utakuja kunishukuru
 
Kumfumaster97 ahsante ngoja nianze kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…