Wenye majina ya Kelvin huwa hawakui?

Wenye majina ya Kelvin huwa hawakui?

Na mwanangu Kevoo nimesoma nae ye kila siku anaonekana mdogo
 
Muulize mwenye jina kevi atakwambia..

SI Kila jina la kumwita mwanao.
 
Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
Kelvin niliyesoma nae darasa moja O level alijiua.

Kelvin wa A level ana pandemic ambayo life expectancy yake kwa bongo sio ya kufika umri wa utu uzima sana.

Calvin mwingine wa A level ana matatizo ya kifua na alifanyiwa operation ya tatizo linginelo katika organ mojawapo, not life threatening.

Kelvin kwa bongo linaingia kundi la majina ya kina Junior, Frank na Gift.
Ili azeeke inabidi aitwe jina la utani likolee, aitwe baba fulani kwa sana, au jina liharibiwe kwa ufupisho. Mzee Kevi, Bwana Juni, au Msukuma Frank aitwe Fule. Otherwise hakuna scientific explanation ila observation inakataa kuwakuta uzeeni.

Upande mwingine, kuna majina yanayozeeka hapa bongo na anaongoza John. Kina mzee John wapo chungu nzima.

Kwa Waislamu nao wana majina yanayozeeka na yasiyozeeka. Humairah not likely kuzeeka, Maimuna na Shadida ni likely. Latifah akiitwa kwa usahihi hazeeki, Tifa (sio Tifah) anazeeka.

Its so stupid but true.
 
Umedadavua vizuri sana mkuu
 
Common sense but not common 😂
 
Back
Top Bottom