Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kina kelvin wa jf njooni mbele tuwaone.....
Hii kisaikolojia inaitwa ''confirmation bias'' au "upendeleo wa kuthibitisha maoni ya awali". Ni hali ambapo mtu hupendelea kutafuta, kukumbuka, au kuzingatia habari zinazounga mkono imani au maoni yake ya awali, na kupuuza au kupunguza uzito wa habari zinazopinga imani hizo.Kelvin niliyesoma nae darasa moja O level alijiua.
Kelvin wa A level ana pandemic ambayo life expectancy yake kwa bongo sio ya kufika umri wa utu uzima sana.
Calvin mwingine wa A level ana matatizo ya kifua na alifanyiwa operation ya tatizo linginelo katika organ mojawapo, not life threatening.
Kelvin kwa bongo linaingia kundi la majina ya kina Junior, Frank na Gift.
Ili azeeke inabidi aitwe jina la utani likolee, aitwe baba fulani kwa sana, au jina liharibiwe kwa ufupisho. Mzee Kevi, Bwana Juni, au Msukuma Frank aitwe Fule. Otherwise hakuna scientific explanation ila observation inakataa kuwakuta uzeeni.
Upande mwingine, kuna majina yanayozeeka hapa bongo na anaongoza John. Kina mzee John wapo chungu nzima.
Kwa Waislamu nao wana majina yanayozeeka na yasiyozeeka. Humairah not likely kuzeeka, Maimuna na Shadida ni likely. Latifah akiitwa kwa usahihi hazeeki, Tifa (sio Tifah) anazeeka.
Its so stupid but true.
Majina yote yanasadifu mengi hata yakitamkwa.Hii kisaikolojia inaitwa ''confirmation bias'' au "upendeleo wa kuthibitisha maoni ya awali". Ni hali ambapo mtu hupendelea kutafuta, kukumbuka, au kuzingatia habari zinazounga mkono imani au maoni yake ya awali, na kupuuza au kupunguza uzito wa habari zinazopinga imani hizo.
Narudia tena. Hii ni confirmation bias na ukitaka kui-counter attack ni lazima uwe na scientific research. Kwa mfano hili la DJ tu linaonyesha unavyopotoka. Most of the DJ's huwa wanakuwa na majina ya ki-DJ na kuacha yale ya asili.Majina yote yanasadifu mengi hata yakitamkwa.
Ukisikia mtu anaitwa Benjamin John, unategemea awe kibonge kiasi asiwe sharobaro na awe anavaa kiheshima. Mtu kama huyo hutarajii afanye kazi kama DJ au producer wa singeli.
Vilevile, hutarajii atokee mke wa Rais hapa Tanzania aitwaye Lorraine. Unahisi kwanini imekuwa coincidence jina la Janeth ni common kwa wake za Marais hapa East Africa.
Tamka sentensi kwa kurudia
"Mheshimiwa Rais Kelvin Cathbert" VS "Mheshimiwa Rais Hakika Mwakilindi"
AU
"Aliyepo mitamboni ni DJ Mohammad Abdul Tuangoma"
VS "Aliyepo mitamboni ni DJ Hafidhu Matonya"
You can see jina gani linakataa fani. Wanaolazimisha ndio hao unakuta kila siku underground kwenye fani zao.
DJ akiwa na a.k.a haachi jina la asili. Kinachofanya awe na hiyo nickname ni sababu jina lake haliendani na kazi, ila endapo jina lake linaendana basi anaenda nalo. Kuna DJs au producers majina yao halisi yanatamkika kikazi. Miikka Kari alipokuja bongo akatafsiri jina lake Kari ni Mwamba kwa Kiswahili, wabongo kutamka Miikka wakashindwa wakaita Mika. Akaenda nalo Mika Mwamba.Narudia tena. Hii ni confirmation bias na ukitaka kui-counter attack ni lazima uwe na scientific research. Kwa mfano hili la DJ tu linaonyesha unavyopotoka. Most of the DJ's huwa wanakuwa na majina ya ki-DJ na kuacha yale ya asili.
Sawa Kelvin 😄Andiko la ovyo
Asante 😂Mzee kelvin yondani
Hawa watazeeka, ngoja tuwasubirieMmh kama kuna kaukweli flani ninawajua makelvin zaidi ya watano wote ni madogo
Well note Sir/MadamNadhani hayo majina yameshika umaarufu miaka ya 2000, ukichunguza kila kizazi kinakuja na upepo wa majina yake, kwa sasa ni ngumu kuwaona wakizeeka sababu bado hawajazeeka wape miaka 50 mbele
Mungu azidi kumuwekaYupo mmoja dereva wetu mbona ni mtu mzima kabisa