ππ kanisa lina mianya mingi sana ya kupiga pesa za kuchekecha akili bwashee , yani unatakiwa ukiingia kanisani ukiona uwingi wa vichwa ujue ni idadi ya mtonyo πNipe madini mengine uliyoyaficha hahaha
Hahaha endelea mkuu umeishia njiani hujamaliza hapo huo mtonyo unakujaje kwangu, nakumbuka enzi hizo kitambo sana mtumishi madogo walikua wanazificha sadaka kwenye Dustbins π Coins zile sio Noti, wakimaliza kuhesabu kapu moja linabanwa kwenye Dustbins wakiondoka zinahamishiwa kwenye kiroba cha kilograms 10 hata wakitoka getini mlinzi asijue kwamba kwenye kiroba kuna nini kumbe kuna sadaka, si anawaona madogo tu hawawezi kuiba sadaka, hio ni kitambo sanaππ kanisa lina mianya mingi sana ya kupiga pesa za kuchekecha akili bwashee , yani unatakiwa ukiingia kanisani ukiona uwingi wa vichwa ujue ni idadi ya mtonyo π
Sasa njia ya huo mtonyo uje kwako ni somo la pili , kaa kimasta mjini hapa bwashee π
Sadaka ina liwa kwa akili bwashee, usione kina mwamposa wanapata watu ukajua ni kazi ndogo wanafanya , Ramani ya mchongo mzima inatakiwa iwekwe mezani ,pia uwe na timu yako aina ya watu kama kina Robert Heriel Mtibeli πHahaha endelea mkuu umeishia njiani hujamaliza hapo huo mtonyo unakujaje kwangu, nakumbuka enzi hizo kitambo sana mtumishi madogo walikua wanazificha sadaka kwenye Dustbins π Coins zile sio Noti, wakimaliza kuhesabu kapu moja linabanwa kwenye Dustbins wakiondoka zinahamishiwa kwenye kiroba cha kilograms 10 hata wakitoka getini mlinzi asijue kwamba kwenye kiroba kuna nini kumbe kuna sadaka, si anawaona madogo tu hawawezi kuiba sadaka, hio ni kitambo sana
Duh..!Alie msafi sana na awe wa kwanza kumrushia jiwe kevoo
Lile la mahema ndio pigo za kisasa bwashee, unatembea nalo tu kulingana na soko lakoDuh..!
Mtumishi umeuaa! Una kitu..
Anzisha kanisa, hata la mabanzi.
Vyupa utakuwa unavichapa usiku wa manane.
Hao ndio Wazee wa hizi kazi suti kubwa juu chini ana kiatu cha kupangusa Cheusi, aah hapo lazima upigwepia uwe na timu yako aina ya watu kama kina @Robert Heriel Mtibeli
Hii kitu ndio last dance yangu ya kujitetea bwashee ,nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingiπHao ndio Wazee wa hizi kazi suti kubwa juu chini ana kiatu cha kupangusa Cheusi, aah hapo lazima upigwe
Sadaka ina liwa kwa akili bwashee, usione kina mwamposa wanapata watu ukajua ni kazi ndogo wanafanya , Ramani ya mchongo mzima inatakiwa iwekwe mezani ,pia uwe na timu yako aina ya watu kama kina Robert Heriel Mtibeli π