Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Hapa na mkuu unakoongelea wewe ni Msumbiji mtepwez ila ninakoongelea mimi ni mpakani na ziwa nyasa huku ni amani kwanza huwezi mkuta mtu anaongea kireno ni kiswahili tu na huwezi mkuta mwanamsumbiji kule zaidi ya hao wamiliki wa hayo maeneo ambao na wao wamewekeza tz songea na mbinga kwahiyo akikuletea zake unafika nchini kwako unamuhalibia
 
Mkuu kwahio we million 2 inaingia kila siku hapa tunavyoongea?
 
Mkuu kwahio we million 2 inaingia kila siku hapa tunavyoongea?
Sio kila siku Mkuu yaani ukisha weza mpaka kufikia hatua unaanza pata haya mawe mwendo utakuwa kama ifuatavyo utaanza kupata mawe yenye gram 10 kwa kadili sampuli zako zinavyokwenda ndio itazid kupanda mwisho wa siku itaanza kupungua tena inamaana inawezekana ukawa unakula hiyo pesa kwenye huo mgodi ndani ya miezi miwili au mitatu mingine hadi sita hadi mwaka kutokana na miamba na hizo sampuli zinavyoenda
 
Maeneo gani huko msumbiji?fursa popote nijuze niwashitue jamaa zangu wa geita tuje huko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue……?[emoji28]
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue……?[emoji28]
Ukiweza kuwekeza kubali na hasara, mkono mtupu haurambwi, yaani mi nikupe dili hata buku ya vocha usinitoe labda mi ni kaka yako nazan umeelewa
Anahitajika mwekezaji wa aina gani?

Ila broo hata we ukitaka njoo tu tukupe eneo upate hela ya kula laki laki hizi huwezi kosa nguvu yako tu na nyota
 
Mkuu kwahiyo mifuko mitatu Kati ya 10 hiyo ni asilimia 3 kweli au unataka kutupima uelewa wetu
Nikiwaambia asilimia 30 mngezingua ni kweli asilimia 3 hata upate mifuko miambili kwa siku yake mitatu tu hivyo tu mkuu
 
Unapita Dar Porini
 
Mzee twende Mgodi umetema, ukiweka million 2 Kila siku unakunja 3m. Unajipa siku 100, unawapa Toyota Oda ya Land Cruiser series 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…