Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Nakuonya Tena na ni amri acha upigaji mara Moja na ujikite kwenye kilimo hasa mahindi. Niko serious nakufuatilia kwa karibu. Ole wako usitii agizo langu nikuone tu Bado una randa randa huko porini kutafuta wanyonge uwapige haki ya nani Mimi na wewe.

Kammoon shambani.
Haya ndiyo makurumbembe ambayo huwa nayapiga spana hapa JF.

WEWE NI KICHWA MAJI
 
Nakuonya Tena na ni amri acha upigaji mara Moja na ujikite kwenye kilimo hasa mahindi. Niko serious nakufuatilia kwa karibu. Ole wako usitii agizo langu nikuone tu Bado una randa randa huko porini kutafuta wanyonge uwapige haki ya nani Mimi na wewe.

Kammoon shambani.
Aisee mambo yasiwe mengi
 
Aisee mambo yasiwe mengi View attachment 2359764
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia Ndo hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania na kusumbuka kutafuta.

Inflicting pain without physical altercation leaving the victim hopeless and helpless the only comfort he can get is to hurl insult.

While me on the other side I Punch the air AGGRESSIVELY and violently with jubilation.😆😆😆😆😆
 
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia Ndo hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania na kusumbuka kutafuta.

Inflicting pain without physical altercation leaving the victim hopeless and helpless the only comfort he can get is to hurl insult.

While me on the other side I Punch the air AGGRESSIVELY and violently with jubilation.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
na uzuri wake saiv nisha piga safari lager za kutosha Bro sio lazima na sijamlazimisha na sijamuomba mtu pesa yake hapa na hakuna mwenye hela ya kunipa
Humu ndani
 
M
Wakuu kama unajiona una mtaji kuanzia m2 hivi njoo nikusaidie ujipatie eneo la mgodi ujiingizie m3 hadi nne kwa siku hiyo ni baada ya kuwekeza ndani ya mwezi mmoja

Kikubwa ambacho nitakusaidia kukuunganisha na ml mwenye eneo atakupa eneo kwa makubaliano haya 3% ya faida utayopata itaenda kwa mwenye eneo nikimaanisha kama mgodi wako utatoa mifuko kumi kwa siku, mfano yenye ghamu 30 mwenye eneo yake mifano mitatu ww utabaki na 7

Mimi nitakusaidia kukutafutia vijana wewe utasimama kama mzamini

Kama upo tayari njoo utengeze pesa sio unamtaji alafu unakaa nao tu hujui cha kufanyia

Watu ambao nitawasaidia ni wale wenye mitaji na wenye lengo la kuwekeza kwenye dhahabu

Kama hujanielewa uliza swali nitakujibu ila kuna vingine siwezi kuviweka hapa

Location: Msumbiji
Hakuna ujanja ujanja wala utapeli lengo vijana wa kitanzania tupige hatua

Na kama unajiona huna mtaji tafuta vijana wenzako watatu hadi wa nne ambao mnajua kupiga kazi yaani kazi sio mabishoo njooni huku ila kikubwa mjue kujizamini ishu kubwa huku ni misosi,maigreshen, yaani kodi ya kichwa kila jmos 5000 kwa kila mchimbaji ukiweza hayo wee njoo upige pesa mapori kibao yanataka watu kulala maskini kuamka na tumilion kazaa kawaida kuhusu kulala usiwaze mwanaume hashangai pakulala gest zipo matulubai ya kujengea kambi yanauzwa
Kikubwa jizile sio unakuja huku anawaza hom

Kwa wale wapenda starehe huku ndio kuzimu utawakanyaga mpaka urud bila pesa kwenu kikubwa ujue kuziotea
Si unakuja huku na gundu lako utasota mpaka unione mbaya osha nyota alafu njoo
Msumbiji sehemu gani?

Vipi swala la mpakani? Ktk kuingia na kutoka na dhahabu?

Umemtaja mwenye eneo pekee vipi kuhusu mwenye leseni?

Uchimbaji huko ukoje? Ni mgodi wa mwamba au ni maveini? Kama ni veini vp kuhs upatikanaji wa maji na kama ni mwamba nyuzi inapatikana ktk mizamo mingapi na duara zilizofika mfuko unasoma gram ngapi? Vipi kuhs matumizi ya milipuko na jeki hammers?

Tunatarajia karibuni mvua zitaanza ktk maeneo mengi ya hapa kwetu tz? Vp kwa historia ya msimu uliopita huko msumbiji kipindi cha mvua migodi inaathirika kwa kiasi gani?

Kubwa purity % ya dhahabu ya huko ni ngapi??
 
Akijibu haya maswali kwa usahihi najitoa JF.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kikubwa sihitaji mzamini ndio maana siitaji tubembelezane kana kwamba naomba kazi nimetoa hiyi kwa anaetaka atanicheki asietaka
saivi ruvuma kuna mahindi so aende huko na hela yake ajumue apeleke mtwara atapiga pesa mkuu kwenye michongo ya pesa hawabembelezani Mkuu
Bei ya kilo ya mahindi ikiwa peramiho , nakahegwa matomondo ,nk ni sh 750 plus, kwa lori la tani 30, laweza gharimu kama 22,500,000.
Ninachotaka kusema, ukiona mtu anafanya biashara ya mahindi msimu huu, ujue si mtu mdogo, na pesa anayo.
 
Hivi kwanini unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hiko hebu pitia kwanza nyuzi zangu zilizopita uone kama nina njaa za ajabu kiasi kuwatapeli watu na sizAn kama hata hayo mahindi umewahi lima
Uchimbaji si lelema ni kazi ya kupoteza na kupata ndani ya muda mfupi? Kutokana na hili limewafanya wengi kutokuingia ktk sekta hii hivyo kuwafanya kuwa na uelewa mdogo juu ya uchimbaji.

Hivyo usitegemee kila mtu atakuelewa unachosema kwanza lugha yako ya machimbo inawachanganya huna haja ya kujibizana na asiyekuwa na uelewa na uchimbaji.

Jitahidi kunyoosha maelezo mchimbaji atakuelewa kirahisi na ktk yote uliyozungumza risk kubwa nayoiona na inayowaogopesha wengi ni kuwa nje ya tz
 
M

Msumbiji sehemu gani?

Vipi swala la mpakani? Ktk kuingia na kutoka na dhahabu?

Umemtaja mwenye eneo pekee vipi kuhusu mwenye leseni?

Uchimbaji huko ukoje? Ni mgodi wa mwamba au ni maveini? Kama ni veini vp kuhs upatikanaji wa maji na kama ni mwamba nyuzi inapatikana ktk mizamo mingapi na duara zilizofika mfuko unasoma gram ngapi? Vipi kuhs matumizi ya milipuko na jeki hammers?

Tunatarajia karibuni mvua zitaanza ktk maeneo mengi ya hapa kwetu tz? Vp kwa historia ya msimu uliopita huko msumbiji kipindi cha mvua migodi inaathirika kwa kiasi gani?

Kubwa purity % ya dhahabu ya huko ni ngapi??
Nakazia!, usahihi katika kujibu maswali haya nadhani mwamba kagusa kona zote muhimu katika tathnia ya uchimbaji small scale.
 
Ukiweza kuwekeza kubali na hasara, mkono mtupu haurambwi, yaani mi nikupe dili hata buku ya vocha usinitoe labda mi ni kaka yako nazan umeelewa
Anahitajika mwekezaji wa aina gani?

Ila broo hata we ukitaka njoo tu tukupe eneo upate hela ya kula laki laki hizi huwezi kosa nguvu yako tu na nyota
Tatizo linakuja hapo kwenye nyota
 
Hawa watu wa hivi buana wamefilisi matajiri wengi sana kanda ya ziwa

Wanakujaza upepo kama huu , unaacha kazi zako kwa tamaa unapeleka fedha huko

Unaañza kununua vifaa vyà kuchimba maduara na minjemba ya kuchimba.

Unakuwa unayalisha kila siku yanazama ndani, kinachoèndelèa hukijui maana huwezi kuzama shimoni.

Wanakuwa wanakupa matumaini kila siku kuwa mkanda upo karibu na utapasua vikole ambavyo itakuwa historia duniani pesa utakayopata hata mashine haiwezi kuhesaba ( mashitabalwa)

Ukitaka kukata tamaa wanachukua kadhahabu kidogo wanasagasa na kuchanganya na udongo ili waje wakudanganye imetoka kwenye mwamba wanaokaribia kutoa malì , wakiupiga chabo unaingia mkenge kuja kushtuka fedha zote zimeisha umefilisika na hunà kitu, hapo hujashàuriwa kwenda kwa waganga wa kienyeji
 
M

Msumbiji sehemu gani?

Vipi swala la mpakani? Ktk kuingia na kutoka na dhahabu?

Umemtaja mwenye eneo pekee vipi kuhusu mwenye leseni?

Uchimbaji huko ukoje? Ni mgodi wa mwamba au ni maveini? Kama ni veini vp kuhs upatikanaji wa maji na kama ni mwamba nyuzi inapatikana ktk mizamo mingapi na duara zilizofika mfuko unasoma gram ngapi? Vipi kuhs matumizi ya milipuko na jeki hammers?

Tunatarajia karibuni mvua zitaanza ktk maeneo mengi ya hapa kwetu tz? Vp kwa historia ya msimu uliopita huko msumbiji kipindi cha mvua migodi inaathirika kwa kiasi gani?

Kubwa purity % ya dhahabu ya huko ni ngapi??
Napendaga sana kuulizwa vitu kama hivi?
1:nimejibu pitia comment za hapo juu nimesema hivi ni mwambao wa ziwa nyasa kwa kupitia njia ya mbinga
2kwa upande huu hawaangalii mgeni anaye ingia ila utalipia getini buku mbili toka hapo utakuwa unalipia buku tano kila jmos kama mchimbaji mfanyabiashara kila mwisho wa mwezi buku ten
3 huku hakuna leseni kama tz huku ni mwenye eneo na ww mchimbaji au muwekezaji
4 kuna uchimbaji aina zote migodin vipalila kwenye meter nk ni ww tu unataka uingie wap kuhusu urefu inategemea na sehemu kuna mzamo wa chepe 6,etc vilipuzi vinatumika un wapofikia kwenye miamba migumu
Bwana njoo pm nikupe namba tuongee mana kutoa maelezo wakati mnanipotezea muda ni matumizi mabaya ya wikend yangu kama upo serious njoo pm kama upo kwaajili ya kupima watu tulia hivyo hvy
 
Mkuu kwani wewe unaingiza hizo pesa kwa kila siku? Niko hapa mbinga na mzee komba DAE limited nikimalizana nae nielekeze nije huko
 
Napendaga sana kuulizwa vitu kama hivi?
1:nimejibu pitia comment za hapo juu nimesema hivi ni mwambao wa ziwa nyasa kwa kupitia njia ya mbinga
2kwa upande huu hawaangalii mgeni anaye ingia ila utalipia getini buku mbili toka hapo utakuwa unalipia buku tano kila jmos kama mchimbaji mfanyabiashara kila mwisho wa mwezi buku ten
Umejibu maswali mawili tu pitia na hayo mengine
 
Back
Top Bottom