Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Ni mpakani na ukanda wa ziwa nyasa ila hauvuki ziwa kuna barabara inaingia hadi huko huko kwa kupitia wilaya ya mbinga hata watu wa upande huo mahitaji yao yote wanachukulia mbinga/ruvuma , maana machimbo yalipo hadi ufike Msumbiji yenyewe ufanye kaz kidogo coz hakuna usafiri wa kwenda huko kutokea hapo machimbo na hakuna barabara ya maana ya kusema itapita gari kubwa ni mwendo wa milima
Hiyo 5000 unayowapa ni hela ya kisumbiji au Tanzania?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uwoga ndio umasikini wenyewe,uzuri wake sio kule ndani ndani ni huku nje nje ambapo asilimia kubwa utakutana na watanzania wenzako
Kingine hili eneo nitalokupeleka watu wake wana uelewa mdogo sana wa mambo kana kwamba ukitumia akili yako ya Kisomi utapiga pesa mpaka useme saiv inatosha coz eneo ni kubwa ila hakuna mwekezaji wa maana kule kulipata jiwe la gram400 kawaida sana tena ukiwa na teknolojia yaan mtambo wa kupima mwamba aisee utakuja unisahau na uzuri hakuna mambo ya vibali wala kodi we chimba kauze
Vip Kuna uchimbaji wa kutumia vipimo Kama GP na SDC nina io mashine izo naweza ingia uko???
 
Hivi wale wahuni waliotikisa kibiti hadi JeiWii wakaingilia kati niliskia walikimbilia msumbiji. Nyie tangulieni tu wanangu. Mie sina mpango wa kufa hivi karibuni tena kwa kuuwawa kikatili. Hapana acha nile hela za muhindi tu kwa amani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaalamu nilitegemea utanipa kampani twende wote tukaokote hela kumbe sina mtu kabisa hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23]kama unajijua una mikosi usije kumuona mtoa mada mbaya
 
Back
Top Bottom