jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kimsingi mzee baba wewee sio mchimbaji..wewe ni dalali tu huko..tena dalali wa kuhamasisha matajiri waje muwapige hela zao.Napendaga sana kuulizwa vitu kama hivi?
1:nimejibu pitia comment za hapo juu nimesema hivi ni mwambao wa ziwa nyasa kwa kupitia njia ya mbinga
2kwa upande huu hawaangalii mgeni anaye ingia ila utalipia getini buku mbili toka hapo utakuwa unalipia buku tano kila jmos kama mchimbaji mfanyabiashara kila mwisho wa mwezi buku ten
Jibu maswali ya mwamba kwa ufasaha acha kukwepa kwepa...kama hujui sema tu unaogopa nini.
#MaendeleoHayanaChama