Wenye ndoto za kufika Ulaya na America, fata njia hizo

Yes madini haya Mkuu.

Pia nilikuwa na ndoto niishi Ulaya lakini saa hii nimebadilisha mawazo, hili nchi letu ni tajiri sitokubali niwaachie wanasiasa ndio walifaidi peke yao.

Nikitusua Bongo naenda kula bata Ulaya.
 
Ubaguzi katika nchi za ulaya na Marekani ni jambo nikiliwaza kila mara napata wakati mgumu,Maana kama watu weusi huku kwetu wanabaguana wenyewe kwa wenyewe,je huko ulaya ambapo huna ndugu itakuwaje? Bora bongo mara mia,kutembea Ulaya na kurudi sawa lakini siyo kuishi.
 
Hakuna ubaguzi labda ujibague mwenyewe, watu wapo busy kusaka dollar muda wa kukubagua wanautoa wapi
 
Back
Top Bottom