Wenye ndoto za kufika Ulaya na America, fata njia hizo

Mbongo huyu mkibadilishana namba, saa chache anasema...nikwambie kitu?
Akishakwambia 'kitu' dawa ni kujifanya kauzu tu
IMG-20241104-WA0002.jpg
 
Guys kuna kitu kingine naongezea, kuweni makini na Nchi mtakazochagua kufanya urafiki nao, Wamarekani na Waingereza hawapo friendly sana, Canada, Denmark, Sweden, Norway, hawa jamaa wanaongoza kua friendly huko kwenye mitandao pia WaCanada wanawapenda sana Watanzania na wengi wao walishawahi kufika, kuna mtu alinambia enzi za Nyerere kulikua na mahusiano mazuri kati ya nchi hizo mbili, kwa hiyo wale wenye ndoto ya kuishi USA kuweni makini sana na watu mtakaokutana nao huko.
 
All of that ili uende kuishi kama alien chini ya anga giza la west, doing low wager shitty jobs. Kama hauwezi kwenda west independently basi tegemea kuishi maisha ya ajabu kuliko hapa Tanzania.
 
Siku hizi kuna translator app, asione aibu kusema hajui kiingereza, ajivunie sana kiswahili chake na amfundishe pia, wazungu kwenye masuala ya lugha hawana noma,
Lakini kwa mtu mwenye ndoto ya kuishi Ulaya na America lazima ajinoe kwenye kiingereza,
Thanks kwa ushauri
Wazungu wakija Tanzania wakiona tuna lugha yetu ya Taifa wanashangaa na wanataka kukifahamu, Wao kwa akili zao wanajua Africa tunongea lugha za wakoloni English na Kifaransa.
 
Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo,

1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating sites kutafuta wazungu na bado hamjafanikiwa, dating sites sio mbaya je unatumia ipi? kama ni free dating sites utasota sana kumpata mzungu tumia za kulipia, pia kitu muhimu katika hizo dating sites ni profile yako the way umeandika profile yako weka vitu vya maana vyenye ushawishi, kingine ni picha zako weka picha nzuri, clear zinazokuonesha ukiwa full pamoja na selfie, usitumie filter za snapchat au kujiedit sana utanishukuru,

2. Sites za urafiki, guys hii njia ni nzuri sana kuliko ya dating site, tafuta sites za urafiki kama interpals, global penfriends au penpal world, etc, sasa hapa nataka nizungumze na nyie kwa umakini mkubwa, hizo sites ni za urafiki na sio mapenzi, ukifika huko profile yako andika vizuri, jielezee na ikikupendeza isifie nchi yako na uwakaribishe wote wafike, watu utakaokua unachat nao ongea nao strictly mazungumzo ya kawaida, usijibebishe utaripotiwa upigwe ban, usijitilishe huruma na kujionesha una maisha ya dhiki unataka usaidiwe ndugu utapigwa block ya nguvu, wazungu hawana utaratibu wa kupeana peana pesa pia watu hawana shida ya kusikiliza huzuni zako, kila mtu ana za kwake na wamechagua kuishi positive, be humble, be happy, usiongee sana utaboa lakini usipooze sana utaboa zaidi, kingine ambacho ni muhimu sana, usiiongelee nchi yako vibaya, isifie nchi yako na waambie kuhusu vivutio vya utalii ili kuwashawishi waje, ukianza kujifanya serikali this, watu kutekwa that utamtisha mzungu hatokuja ng'o, lingine usijioneshe upo desperate kwenda Ulaya/America, usianze "ooh USA is my dream country i wish one day to live there" atakuona mduanzi tena mwingine anaweza akakutega kukuliza dream country yako mtajie nchi za mbali mbali huko, mwambie mfano: Japan, mwambie napenda sana culture yao, jinsi walivyo wasafi, wakarimu na wachapakazi, (usije ukataja Israel au Iran au Russia atakuona gaidi, lol) mchore anapenda nini kama ni michezo soma kuhusu mchezo aupendao ongelea huo huo mchezo ufananishe na michezo mingine ya Africa, kua updated na masuala ya kidunia unaweza ukamuuliza "naona uchumi wa dunia umeyumba sana, jana niliangalia news trading in USA iko low nini maoni yako?" hapo atajua kua anazungumza na mtu mwenye akili na uelewa mpana, wazungu wengi wanahisi wa Africa hatujasoma bado tunaishi kwenye mawe, wewe ndie wa kubadilisha hiyo mindset yao,
Kwa wale wenzangu na mie jobless usije ukamwambia mzungu huna kazi mwambie hata unafanya biashara ndogo ndogo zinazokuwezesha kulipa kodi na kula na kama unaishi nyumbani mwambie unaishi nyumbani ila unaangalia wazazi wako wazee na ndugu zako wadogo wewe ndie kaka/dada mkubwa, ukimwambia huna kazi mzungu hakuelewi unaishi vipi atakuona muhalifu au mvivu unaishi kwa kuomba omba, ila ukimuonesha una mchongo ataona yeeees, unajua tamaduni zetu na zao ni tofauti sana na wengi ambao hawajawahi kufika Africa hawaelewi life la Africa linasongaje,

3. Host sites: umeshawahi kusikia kuhusu hilo, basi leo nakujuza kuna sites za kuhostiana unajiunga unajieleza vizuri kua unakaribisha kama ni mtu mmoja au wawili au familia ya watu wanne au group la watu 10, ni wewe tu na ukubwa wa nyumba yako na utaelezea vitu vilivyopo wazungu hawana time na luxury stuff wanapenda vitu vya kitamaduni zaidi, basi ukifanikiwa kuhost hata mmoja na wewe siku atakualika akuhost hapo ndio mwanzo wa kufika Ulaya/America hii njia ya hosting Wakenya wanaifanya sanaa,

Mwisho kabisa fanya njia zote Mzungu afike Africa, ukishafanikiwa kumpeleka Tanzania basi umeula, kukuita na yeye itakua rahisi sana sababu atakua ameshakuamini, pia akifika jaribu sana kumshawishi awekeze hasa kwenye real estate ardhi ni mali sana kwao, still akifika usioneshe tamaa ya kwenda be cool as you can muache yeye ndie aanzishe trust me it works,

Muhimu: kama una ndoto za kwenda Ulaya/America hakikisha una pesa usitegemee mzungu ndie atatoa pesa zake kukuhangaikia masuala ya passport, visa na nauli, anaweza akafanya hivyo kulingana na uzito wa mawasiliano yenu yalipofikia ila kua na pesa yako mwenyewe inasaidia sana, lingine wazungu unaowatafuta umri uwe kuanzia miaka 45 na kuendelea hao ndio wanakua tayari wamejipata.

Good luck.
huu ni moja ya uzi bora sana kuwekwa kwenye jukwaa hili
 
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom