Wenye ndoto za kufika Ulaya na America, fata njia hizo

Guys kuna kitu kingine naongezea, kuweni makini na Nchi mtakazochagua kufanya urafiki nao, Wamarekani na Waingereza hawapo friendly sana, Canada, Denmark, Sweden, Norway, hawa jamaa wanaongoza kua friendly huko kwenye mitandao pia WaCanada wanawapenda sana Watanzania na wengi wao walishawahi kufika, kuna mtu alinambia enzi za Nyerere kulikua na mahusiano mazuri kati ya nchi hizo mbili, kwa hiyo wale wenye ndoto ya kuishi USA kuweni makini sana na watu mtakaokutana nao huko.
 
All of that ili uende kuishi kama alien chini ya anga giza la west, doing low wager shitty jobs. Kama hauwezi kwenda west independently basi tegemea kuishi maisha ya ajabu kuliko hapa Tanzania.
 
Wazungu wakija Tanzania wakiona tuna lugha yetu ya Taifa wanashangaa na wanataka kukifahamu, Wao kwa akili zao wanajua Africa tunongea lugha za wakoloni English na Kifaransa.
 
huu ni moja ya uzi bora sana kuwekwa kwenye jukwaa hili
 
Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…