Wenye Nissan Dualis nawatamani sana hamjui tu

Namiliki Nissan Dualis...

Ni gari nzuri sana.

Hayo unayoyaita mapamba kama blanketi ndio yaliyowasha moto Sasa.

Ufafanuzi huu hapa... [emoji116][emoji116]
 
Chukua nissan x trail new model
dualis...nissan xtrail sio gari za mtu kuanza kujifunzia kumiliki gari hata kidogoo yani wengi wanakuwa hawajui kuhusu service wala kuitunza garii mtu unaamka week nzima haangalii kama kuna maji wala nini yeye anawasha tu garii aisee mimi binafsi namshauri atafute toyota tena kina vitz au ist otherwise kitaumana na atachukia gariii CC 2000+ uwe na hela kweli
 

[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Namiliki Nissan Dualis...

Ni gari nzuri sana.

Hayo unayoyaita mapamba kama blanketi ndio yaliyowasha moto Sasa.

Ufafanuzi huu hapa... [emoji116][emoji116]View attachment 2783705View attachment 2783706
Sidhani kama ni sababu hiyo. Ksbb mimi sikutoka kuosha gari. Halafu ktk vitu navikwepa ktk gari kuoshwa ni kupigwa presure kwenye engine,hicho kitu sikitumii ksbb najua madhara yake. Umechunguza nyingi zinazowaka njiani unafikiri zimetoka kupigwa presure? Pia yale kama mablanket yalisaidia sana siku ile kuzuia moto usije kwa kasi. Japo siwezi kukukatalia kwamba yanaweza kuwa ndio chanzo cha moto. (Nitachunguza pia). Lakini sio ikitoka kuoshwa. Ksbb nyingi zinawaka sio zimetoka kuoshwa
 

mmh
 
Dream can be true if you add up effort and have knowledge on what you prefer doing......Dualis ni ndoto yako andaa mazingira yake (Mafuta,utunzaji n.k) .... Nimesema haya maana umesema hujui hata kuendesha gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…