Tuwajali ILI nanyi mweke viakiba akiba vyenu then msimike vibanda vyenu wenyewe [emoji849][emoji849] na sisi wenye nyumba tutawapangisha akina nani???Mkuu, hata kama kujenga kuna machungu ila tupeane kampani tafadhali. Tunyanyuane. Mtujali na sisi wapiganaji.
Ha ha haa. Mkuu, haimanishi tunaomba tuishi bure. Ombi letu ni kuwa tulipe kodi kwa mwezi na siyo kwa miezi mingi cumulatively.Ndio maana sitaki kupangisha kwangu yaani mie ninunue nondo 30k, cement 15k hapo sijaweka gharama zingine halafu jitu linakuja kujiliza tulionee huruma
True kabisa huu ni ujinga. Hamna mtu analipwa salary advance ya miezi sita.Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?
Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.
Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.
Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
Mkuu tuoneane huruma tafadhali.
Jenga yako acha kutupangia.Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?
Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.
Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.
Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
unatunanga sio??!Kwakweli tuvumilieni tu munajua uchungu wa kujenga nyie??? [emoji23]
Ni yale yale mkuu KUDAIWA KODI kila Mwezi wewe mwenyewe utaona keroKwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?
Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.
Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.
Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
Hivi kwa nini sisi tunategemea serikali ndio ijenge nyumba za kupangisha watu? Nchi za wenzetu Private sectors ndio wamiliki wa nyumba. Unakuta kampuni xy ndio inamiliki karibia 80% ya majengo ya mji husika na kazi yao kupokea tu kodi kila mwezi. Serikali na private sectors wanakaa mezani kukubaliana namna ya kukabiliana na changamoto.Ushapiga return on investment ya mwenye nyumba hususan Bongo...,
Yaani ukishweka kero, uharibufu, kucheleweshwa kulipwa na mwisho wa siku mtu kukimbia na pesa zako au kuanza kufukuzana na mpaka kupelekea kwenye Mahakama ya Nyumba ?
Pili kama sehemu inapendwa na watu kumi (location ni nzuri) na mwingine ili apewe yeye usipewe wewe anasema atalipa hata miaka kumi.., huoni itakuwa sio Haki / Busara kumlazimisha huyo mtu apokee pesa ya mwezi au achukue mtu anayelipa kwa mwezi na amuache ambaye kwake ni more profitable ?
Its all in Supply and Demand..., Kama kweli Serikali ingeona hili ni tatizo ingejenga nyumba nyingi za National Housing kupunguza ushindani; zaidi ya hapo ni kulazimishana maisha
Unajua kitu kinaitwa affordable housing ?Hivi kwa nini sisi tunategemea serikali ndio ijenge nyumba za kupangisha watu? Nchi za wenzetu Private sectors ndio wamiliki wa nyumba. Unakuta kampuni xy ndio inamiliki karibia 80% ya majengo ya mji husika na kazi yao kupokea tu kodi kila mwezi. Serikali na private sectors wanakaa mezani kukubaliana namna ya kukabiliana na changamoto.