Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

Sheria za mortgage zinatakiwa kuwa regulated na taasisi ya umma siyo bongo ambapo wenye nyumba wanajiamlia tu, kwa nchi za wenzetu mishahara na posho hulipwa kila baada ya wiki mbili na hivyo hivyo unaweza ukawa unalipa pango la nyumba na bili mbalimbali kila baada ya wiki mbili ambapo inakuwa inakata moja kwa moja kwenye akaunti yako........
 
Mkuu, hata kama kujenga kuna machungu ila tupeane kampani tafadhali. Tunyanyuane. Mtujali na sisi wapiganaji.
Tuwajali ILI nanyi mweke viakiba akiba vyenu then msimike vibanda vyenu wenyewe [emoji849][emoji849] na sisi wenye nyumba tutawapangisha akina nani???
 
Ndio maana sitaki kupangisha kwangu yaani mie ninunue nondo 30k, cement 15k hapo sijaweka gharama zingine halafu jitu linakuja kujiliza tulionee huruma
 
Ha ha haa. Mkuu, haimanishi tunaomba tuishi bure. Ombi letu ni kuwa tulipe kodi kwa mwezi na siyo kwa miezi mingi cumulatively.
 
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?

Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.

Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.

Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
True kabisa huu ni ujinga. Hamna mtu analipwa salary advance ya miezi sita.
 
Jenga yako acha kutupangia.
 
Ushapiga return on investment ya mwenye nyumba hususan Bongo...,

Yaani ukishweka kero, uharibufu, kucheleweshwa kulipwa na mwisho wa siku mtu kukimbia na pesa zako au kuanza kufukuzana na mpaka kupelekea kwenye Mahakama ya Nyumba ?

Pili kama sehemu inapendwa na watu kumi (location ni nzuri) na mwingine ili apewe yeye usipewe wewe anasema atalipa hata miaka kumi.., huoni itakuwa sio Haki / Busara kumlazimisha huyo mtu apokee pesa ya mwezi au achukue mtu anayelipa kwa mwezi na amuache ambaye kwake ni more profitable ?

Its all in Supply and Demand..., Kama kweli Serikali ingeona hili ni tatizo ingejenga nyumba nyingi za National Housing kupunguza ushindani; zaidi ya hapo ni kulazimishana maisha
 
Ni yale yale mkuu KUDAIWA KODI kila Mwezi wewe mwenyewe utaona kero
 
Aisee wacha wenye nyumba walinge na nyumba zao kujenga sio kazi nyepesi jaman ,tuwaheshimu Sanaa hawa watu na sio kwamba wanapata faida sanaa ni wanarudisha gharama zao za ujenzi tena inaweza chukua miaka 10-15 kurudisha

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ushapiga return on investment ya mwenye nyumba hususan Bongo...,

Yaani ukishweka kero, uharibufu, kucheleweshwa kulipwa na mwisho wa siku mtu kukimbia na pesa zako au kuanza kufukuzana na mpaka kupelekea kwenye Mahakama ya Nyumba ?

Pili kama sehemu inapendwa na watu kumi (location ni nzuri) na mwingine ili apewe yeye usipewe wewe anasema atalipa hata miaka kumi.., huoni itakuwa sio Haki / Busara kumlazimisha huyo mtu apokee pesa ya mwezi au achukue mtu anayelipa kwa mwezi na amuache ambaye kwake ni more profitable ?

Its all in Supply and Demand..., Kama kweli Serikali ingeona hili ni tatizo ingejenga nyumba nyingi za National Housing kupunguza ushindani; zaidi ya hapo ni kulazimishana maisha
Hivi kwa nini sisi tunategemea serikali ndio ijenge nyumba za kupangisha watu? Nchi za wenzetu Private sectors ndio wamiliki wa nyumba. Unakuta kampuni xy ndio inamiliki karibia 80% ya majengo ya mji husika na kazi yao kupokea tu kodi kila mwezi. Serikali na private sectors wanakaa mezani kukubaliana namna ya kukabiliana na changamoto.
 
Unajua kitu kinaitwa affordable housing ?

Affordable housing are not affordable zile national housing au miradi ya affordable housing kwa kila mtu ni service na sio profit oriented per se....

Kwahio National Housing ilitengenezwa kwa minajili ya kusaidia upungufu na gharama ya makazi kwa wanfanyakazi / wakazi wa sehemu husika..., ukiacha market forces ichukue mkondo wake lazima ulalamike gharama zipo juu.., hence kuliko serikali au taasisi fulani ziwapangie watu wenye business plan zao bei ya kupangisha na jinsi ya kupangisha hio niche market ya cheap housing / lower income accommodation, inaweza kufanyika tu kama profit at all costs itakuwa sio part ya equation

Hata huko nchi za wenzenu kuna Council Houses ambazo wanakaa watu wa lower income na zenye gharama nafaa (guess who owns them)? alafu jiulize kama kuna kichaa yoyote atakubali kumiliki hizo nyumba kwa return ya investment itakayopatikana kwa kuwakodisha suche lower income people
 
Tuna kikao hapa tunajadili Kuhusu Haya Mafuta yalivyopanda tufanyeje,Mnatuchokoza!
Sasa kodi mtalipa kuanzia mwaka na kuendeleaa mnashindwa hata kujenga chumba kimoja.
 
Watu hawataki biashara ya kugongeana hodi kila mwezi,niusumbufu tu.

Lipa miezi 6 au 12 hatawewe unasahau kidogo.
 
Back
Top Bottom