Kama anaishi hapo hataki keleleKuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto.
Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
Yaan wakiona unakaribisha sana wageni, bas unapewa notes.Ndio maana watu kwa hasira wanahamia Nyumba zao ata hazijakamilika. Hawa wenye nyumba jau
Inaweza kuwa maswala ya kiusalama zaidi.Yaan wakiona unakaribisha sana wageni, bas unapewa notes.
Lol
MmmmhInaweza kuwa maswala ya kiusalama zaidi.
Tajiri nisaidie ulijengaje mkuu nisijekufa na dipresheni bila kumiliki mjengoNina pangisha sehemu fulani, na ninakiri baadhi ya wapangaji wenye watoto sio wastaarabu kwa nyumba au wenzao
Mara nyingi watoto wanasumbua ikiwemo kuchafua vyooo na mazingiraKuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto.
Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
We fala najua umejenga, na kwenye uwanja wa nyumba yako kuna mchungwa kenge wee.Tajiri nisaidie ulijengaje mkuu nisijekufa na dipresheni bila kumiliki mjengo