makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Tumia pesa ikuzoee... 😂🤣Bora niendelee kuzungusha raundi au sio mkuu. Kwanza ntajengaje njiani na duniani tunapita 😂
Tumia pesa ikuzoee... 😂🤣Bora niendelee kuzungusha raundi au sio mkuu. Kwanza ntajengaje njiani na duniani tunapita 😂
Pesa yenyewe nnayo basi😂Tumia pesa ikuzoee... 😂🤣
Ni biashara ya saluni ya kike ndio nimeipiga marufuku kwa sababu zangu binafsi, lakini akija mpangaji mwanamke anataka kufungua duka la mahitaji ya nyumbani, phamarcy, fundi cherehani n.k sina shida yoyoteMkuu wanawake walikufanya nini aisee?
Heshima yako braza.Sio mbaya lakini.
Mimi mwaka mmoja nyuma nilipiga kura na nilimchagua mbowe.
Bro nime cheka kishenzi, maisha yange kuwa rahisi hivi ninge kuwa na kijiji sasa 😂😂.Gharama za kujenga huko kijijini kwao usukumani ni ndogo sana tofali anafyatua mwenyewe, mbao anapasua miti ya babu yake, kiwanja ni shamba alilopewa na babu yake mzee Budeba, fundi ni mtoto wa aunt yake na maji anachotea ziwa victoria
Ka mkubwa masuala ya kupeana presha siwezi, yaani nivumilie ngumi huku nina panga mkonomlno😂😁Mdogo wangu hapa kodi inakaribia kuisha, nitakuja kupanga kwako, tusumbuane sumbuane kulipana kodi kidogo
Shukrani brother, nime kusoma vyema .Kuepuka stress kama
Kuepuka stress kama unajenga nyumba kwa ajili ya wapangaji fanya finishing ya bei nafuu. Rangi achana na silk/wash and wear palka rangi ya maji 20L 30,000 mtu akitoka hata akichafua unapaka ingine chap.
Usijenge nyumba ya kupangisha kama unavyojenga nyumba ya kuishi wewe. Wanaokaa hapo ni wapita njia tu they won't appreciate any quality. Unless ni zile apartment za Masaki au Oyserbay za $2000+ kwa mwezi.
Kujenga napo ni kipengele sana acha niendelee kulipa kodiBro nime cheka kishenzi, maisha yange kuwa rahisi hivi ninge kuwa na kijiji sasa 😂😂.
I spent a fortune on that shit.
Hiyo ni roho mbaya mdogo wangu, vitu vya kuoita hivyo 😂🤣Ka mkubwa masuala ya kupeana presha siwezi, yaani nivumilie ngumi huku nina panga mkonomlno😂😁
Mi mwenyewe nalipa Kodi,Kujenga napo ni kipengele sana acha niendelee kulipa kodi
Ume nikumbusha watu wawili, wali semaga hatuta enda na hivi vitu.Hiyo ni roho mbaya mdogo wangu, vitu vya kuoita hivyo 😂🤣
Usiue we jaribu ile ya kulala na chatuMi mwenyewe nalipa Kodi,
Maana sehemu nayo taka kuishi bado ni kipengele bro.
Hamna hamna lazima nitoe kafara au niuze misukule.
Aisee aki kaza kiuno huna mbavu kudadadekiUsiue we jaribu ile ya kulala na chatu
Watoto Asubui lazima wanye mchana wakila tu baada ya nusu saa wanakunya. Yani kwa siku wanakunya mala 3 na kuoga mala 3Kwahiyo watoto wetu wanakunya sana!!🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mwanangu sasa umekuwa mkubwa nilikustiri tu unikumbuke huko ulipoWatoto waharibifu sana nao.
Wakati nipo mdogo miaka ya 2006 nilichuna rangi ya toyota corolla ilikuwa nyeupe ya mwenye nyumba aliumia sana akafukuza wapangaji wotee.
Uzuri watoto tulikuwa wengi so hakunijua.
Acha uhafidhina mkuuNi biashara ya saluni ya kike ndio nimeipiga marufuku kwa sababu zangu binafsi, lakini akija mpangaji mwanamke anataka kufungua duka la mahitaji ya nyumbani, phamarcy, fundi cherehani n.k sina shida yoyote
Jenga nije kupanga🤣Raha zenyewe sina ni dipresheni tupu bora nijenge niepukane na dipresheni za kodi.
Hili neno sanaKuepuka stress kama
Kuepuka stress kama unajenga nyumba kwa ajili ya wapangaji fanya finishing ya bei nafuu. Rangi achana na silk/wash and wear palka rangi ya maji 20L 30,000 mtu akitoka hata akichafua unapaka ingine chap.
Usijenge nyumba ya kupangisha kama unavyojenga nyumba ya kuishi wewe. Wanaokaa hapo ni wapita njia tu they won't appreciate any quality. Unless ni zile apartment za Masaki au Oyserbay za $2000+ kwa mwezi.