Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

Watoto wengi hua ni waharibifuuu (naongea kwa experience) halafu wazazi ushirikiano 0.
Mtu mwenye watoto kodi ni miezi 13.
 
Watoto wengi hua ni waharibifuuu (naongea kwa experience) halafu wazazi ushirikiano 0.
Mtu mwenye watoto kodi ni miezi 13.
Utasikia ni mtoto mwache nitamtia kofi,

Ningelelewa hivyo Leo hii ningekuwa wa hovyo sana,
 
Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto.

Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
Kwanini ume-generalize kwamba ni wivu au roho mbaya?. Mbona ni swali ambalo ungeweza kuuliza tu kistaarabu na kupewa majibu mazuri.

Mtu kajenga nyumba yake, kaweka masharti yake wewe kinachokuuma ni nini?

Mimi binafsi nina nyumba ya kupangisha mbele ina flemu za biashara. Sharti namba moja sitaki mpangaji atakaefanya biashara ya saluni ya kike. Nina sababu zangu na haki ya kuweka masharti kwenye nyumba yangu
 
Nina pangisha sehemu fulani, na ninakiri baadhi ya wapangaji wenye watoto sio wastaarabu kwa nyumba au wenzao.

kelele, uchafu, usumbufu wa kuingia milango ya wengine.

Mimi sibagui, as long as una timiza mkataba wako kwa wakti.
(3 wana watoto kwenye sehemu hiyo).

# watoto ni ishara ya upendo, utulivu na utu so wasibague kihivyo.
Akina jinia ni wajaribifu jamani. Kuna nyumba niliwahi kupanga, mwenye nyumba mstaarabuu
Kulikuwa na huyo mama mpangaji ana mtoyo mtunduuu. Yule mtoto alichora kuta za ile nyumba na mkaa vibaya sana. Ukuta ulikuwa mchafuu haufai. Mwenye nyumba alivumiliaa mwisho akamtimua yule mama na akapaka rangi upya.
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Akina jinia ni wajaribifu jamani. Kuna nyumba niliwahi kupanga, mwenye nyumba mstaarabuu
Kulikuwa na huyo mama mpangaji ana mtoyo mtunduuu. Yule mtoto alichora kuta za ile nyumba na mkaa vibaya sana. Ukuta ulikuwa mchafuu haufai. Mwenye nyumba alivumiliaa mwisho akamtimua yule mama na akapaka rangi upya.
Halafu mpangaji anaenda kutangaza kuwa una roho mbaya .

Hapo ukute uli piga rangi ya 150k ile deluxe uwii 😁😁
 
Maisha yabdar kupanga nyumba yenye masharti ni bora ukakae kwenu i hate fuckn rules I pay my money for freedom mazafuker
 
Nilienda mahali nikakutana na amri hii .... HAPA NI MARUFUKU KUSIKILIZA NYIMBO ZA GOSPEL. na kuanzia saa 4 usiku uwe ndani kwako marufuku kuendelea kukaanje
 
Back
Top Bottom