makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Acha uoga wa maisha mdogo wetu, unajenga ili iweje, hakuna elfu iliyoandikwa ya kununulia mfukobwa cement, kujenga uoga wa maisha.Tajiri nisaidie ulijengaje mkuu nisijekufa na dipresheni bila kumiliki mjengo
Mdogo wangu hapa kodi inakaribia kuisha, nitakuja kupanga kwako, tusumbuane sumbuane kulipana kodi kidogoNina pangisha sehemu fulani, na ninakiri baadhi ya wapangaji wenye watoto sio wastaarabu kwa nyumba au wenzao.
kelele, uchafu, usumbufu wa kuingia milango ya wengine.
Mimi sibagui, as long as una timiza mkataba wako kwa wakti.
(3 wana watoto kwenye sehemu hiyo).
# watoto ni ishara ya upendo, utulivu na utu so wasibague kihivyo.
Umeifunga mada mkuu, sababu ya msingi ndiyo hiyo.Kama anaishi hapo hataki kelele
Kuepuka stress kama unajenga nyumba kwa ajili ya wapangaji fanya finishing ya bei nafuu. Rangi achana na silk/wash and wear palka rangi ya maji 20L 30,000 mtu akitoka hata akichafua unapaka ingine chap.Halafu mpangaji anaenda kutangaza kuwa una roho mbaya .
Hapo ukute uli piga rangi ya 150k ile deluxe uwii 😁😁
Watoto wanachangia kuharibu NyumbqKuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto.
Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
Watoto waharibishu sana nao.
Hapo nina miaka 10 so piga hesabu zako vizuriDaaah!
2006 yaani unapiga nike kwa kamasi? ***** kweli humu watoto ni wengiWatoto waharibifu sana nao.
Wakati nipo mdogo miaka ya 2006 nilichuna rangi ya toyota corolla ilikuwa nyeupe ya mwenye nyumba aliumia sana akafukuza wapangaji wotee.
Uzuri watoto tulikuwa wengi so hakunijua.
Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto.
Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
Shrnzy kabsaa nakutafuta kumbe ni ww ?? Ww sio Alfan mtot wa mama Said??Watoto waharibifu sana nao.
Wakati nipo mdogo miaka ya 2006 nilichuna rangi ya toyota corolla ilikuwa nyeupe ya mwenye nyumba aliumia sana akafukuza wapangaji wotee.
Uzuri watoto tulikuwa wengi so hakunijua.
Bora niendelee kuzungusha raundi au sio mkuu. Kwanza ntajengaje njiani na duniani tunapita 😂Acha uoga wa maisha mdogo wetu, unajenga ili iweje, hakuna elfu iliyoandikwa ya kununulia mfukobwa cement, kujenga uoga wa maisha.
Hata usipojenga, ukifa utajengewa nyumba ya milele tu.
😂🤣🤣
hapo gharama kubwa ni za kupambana na wachawi wasiopenda maendeleo.Gharama za kujenga huko kijijini kwao usukumani ni ndogo sana tofali anafyatua mwenyewe, mbao anapasua miti ya babu yake, kiwanja ni shamba alilopewa na babu yake mzee Budeba, fundi ni mtoto wa aunt yake na maji anachotea ziwa victoria
Sina hata kiwanja sasa jichanganye ule machungwa ya wenyewe urogwe mbupu zipotee😂We boya una dhani ni siri, na siku machungwa yakiota nakuja kuyala boya wee.
Raha zenyewe sina ni dipresheni tupu bora nijenge niepukane na dipresheni za kodi.Ponda raha kufa kwaja , duniani tunapita. Unajengaje njiani? Hizo ni dipresheni za kujitakia.
Hawataki kesi watoto yale madude yao wanayowafunga mkunduni kupokea mavi wanayajaza kwenye matundu ya vyoo wanasababisha vyoo kujaa haraka, hii ilishatutokea mpangaji kaja na familia ya watoto watatu wote wadogo na wote wanawafunga ya mapampas magumu wakawa wanayatupa chooni choo kikajaa ndani ya muda mfupi sana kumbe kimejaa yake mapampas na hayayeyuki hata kwa petrol, hapo ni kuchomba choo kimya au kuzibua upya na kutoa mapampas yote.. hii ni gharama kubwa kwa mwenye nyumba.. hio ni moja tu ila kero zipo nyingiIssue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
Sio mbaya lakini.Hapo nina miaka 10 so piga hesabu zako vizuri
Mkuu wanawake walikufanya nini aisee?Kwanini ume-generalize kwamba ni wivu au roho mbaya?. Mbona ni swali ambalo ungeweza kuuliza tu kistaarabu na kupewa majibu mazuri.
Mtu kajenga nyumba yake, kaweka masharti yake wewe kinachokuuma ni nini?
Mimi binafsi nina nyumba ya kupangisha mbele ina flemu za biashara. Sharti namba moja sitaki mpangaji atakaefanya biashara ya saluni ya kike. Nina sababu zangu na haki ya kuweka masharti kwenye nyumba yangu