Wenye Nyumba: โ€œNataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!โ€ Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

Mkuu wanawake walikufanya nini aisee?
Ni biashara ya saluni ya kike ndio nimeipiga marufuku kwa sababu zangu binafsi, lakini akija mpangaji mwanamke anataka kufungua duka la mahitaji ya nyumbani, phamarcy, fundi cherehani n.k sina shida yoyote
 
Gharama za kujenga huko kijijini kwao usukumani ni ndogo sana tofali anafyatua mwenyewe, mbao anapasua miti ya babu yake, kiwanja ni shamba alilopewa na babu yake mzee Budeba, fundi ni mtoto wa aunt yake na maji anachotea ziwa victoria
Bro nime cheka kishenzi, maisha yange kuwa rahisi hivi ninge kuwa na kijiji sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

I spent a fortune on that shit.
 
Shukrani brother, nime kusoma vyema .
 
Sipendi kelele,so nikikuta nyumba Ina mpangaji zaidi ya mmoja or Kuna watoto,sikai..niliwahi kufunga soundproof nyumba ya kupanga,,

I might settle down with mpenzi bubu kama H Baba halafu fresh...
 
Kwahiyo watoto wetu wanakunya sana!!๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
Watoto Asubui lazima wanye mchana wakila tu baada ya nusu saa wanakunya. Yani kwa siku wanakunya mala 3 na kuoga mala 3
 
Watoto waharibifu sana nao.

Wakati nipo mdogo miaka ya 2006 nilichuna rangi ya toyota corolla ilikuwa nyeupe ya mwenye nyumba aliumia sana akafukuza wapangaji wotee.

Uzuri watoto tulikuwa wengi so hakunijua.
Mwanangu sasa umekuwa mkubwa nilikustiri tu unikumbuke huko ulipo
 
Ni biashara ya saluni ya kike ndio nimeipiga marufuku kwa sababu zangu binafsi, lakini akija mpangaji mwanamke anataka kufungua duka la mahitaji ya nyumbani, phamarcy, fundi cherehani n.k sina shida yoyote
Acha uhafidhina mkuu
 
Hili neno sana
Bila kusahau vitasa aweke vya 15000
Wiring ndiyo azingatie haswa.
Switch aweke za kawaida.
Vigae kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ