Wenye sura ngumu ndio wanaotumika kuwatisha watoto ili wanyamaze kulia

Wenye sura ngumu ndio wanaotumika kuwatisha watoto ili wanyamaze kulia

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Yani mtoto akilia sana hanyamazi, anaitwa Anko mwenye sura ngumu, anamwambia “we we, ntakumeza” bas mtoto alimuangalia anaona hili li monster linaweza nimaliza kweli, dogo ananyamaza. Akilia tena anaambiwa tunamuita Anko.

Hapo inakwambia kua
1. handsomeness is kind
2. Handsomeness is peace
3. Handsomeness is attractive
4. Handsomeness is not scary

Super handsome 👌
 
Sura nzuri sio kila kitu.

Huna tofauti na wale ke wanaoringia makalio makubwa.

Majivuno mengi.
 
Back
Top Bottom