Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
- #81
Funga kazi hii ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐๐ญWe unajuaje labda siku hiyo ndio kikao muhimu na yeye pengine ni Kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga kazi hii ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐๐ญWe unajuaje labda siku hiyo ndio kikao muhimu na yeye pengine ni Kiongozi
Mwache kijana WA watu Umughaka๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คช๐คชKAMBA ambayo iko inspired na stori za Umughaka๐
Kunywa mkuuu ila omba yasikukuteKuna ka harufu ka chai kwa mbaliiii...
inafanana na stori ya post yakoThen ๐คท๐ฝโโ๏ธ
Dada upo?Mhhhh ya ukweli haya? Mbona inatisha kuwa ukweli?
Kama ni kweli basi binti anajua mama yake mchawi kwa kauli yake ya kumzuia kwenda kuwanga siku hiyo.
Ila mchumba asamehe kama wanapendana hakuna shida uchawi wa mama sio issue.
Karibu sana..Leo tuna ibada saa Tisa jioni na kuendeleaKumbe apo tembon nakuja sana
Kwani kazi yao ya kuwanga inakuwa na off duty.Wazazi wakati mwingine wanafanya mambo ya ajabu sana.
Kwanini huyo mama mchawi hakuheshimu ujio wa wakwe apumzike walau hiyo siku 1 kuwanga?
Kamdhalilisha sana mwanae na mkwewe kwa marafiki.
Kimetokea mkoa gani ?Iki n kisa Cha kweli my dear
Mkuu hapo kwenye soda na nyama walikuwa wana roga ili msile?Omba mwanangu ushuhudie
Mimi niliwahi kumuona mmoja kitaani mabibo ila polisi waliwahi kumuokoa mbele ya raia.
Mwingine alikuwa ni baba mkubwa akayakanyaga Kwa ma'mkubwa alidhani mama mkubwa ni mchekea
Uchawi/ushirikina mwingine nilishuhudia Shule huko Iringa Migoli asee watoto wa day wasio lala mabwenini wa Ile shule wanaroga balah! Kisa tu kreti za soda,mbuzi na ng'ombe,
Nusu final ya chandimu tukapigwa goli tatu za chapuchapu lakini wataalamu wetu wakaleta chumvi na tangawizi tukategua tego tukashinda mechi kibabe
Final nyingine ya gozi wachezaji wakagoma kulala mabwenini Ili kujihadhari, wakajifanya wanabundi lakini madogo wakajua kabisa tumewakimbia wao (maana asubuhi walitupiga vijembe na mipasho ya hapa na pale) kesho yake kabla ya mechi wachezaji wakakubaliana wajipake mafuta ya nguruwe mmoja akogoma akesema yeye muislamu,dah! chuma ikipitia kulekule kwake tukafa kimoja Cha uchungu.
Kwenye handball na basketball atakufua dafu kabisaa tuliambulia volleyball tu ambayo walishutukizwa hivyo hawakufanya maudhaufha yao.
Nyingine nahisi kabisa ilikuwa kwenye Lukuvi Cup asee uchawi/ushirikina upo na mimi kunajambo lilinikuta pale migoli,yani pale ni pamoto
Siyo kweli mbona huyo binti hajaliwa nyama?Safi sana, piga chini huyo demu kabla hamjafunga ndoa na kuzaa watoto halafu waanze kuliwa nyama.
Jinsi alivyokuwa mmbeya ashindwe kupost Toka tar 10 aje kupost Leo? Huyu ni muongo na pia hajui jinsi ya kuongopaKahawa hii inapatikana kijiwe nongwa mitaa yaJF
ningekuepo karibu ningemla kiboga!!!Achaneni na imani pot potofu Mama anatatizo la afya ya akili na.anahitaji kusaidiwa kwa hali na mali!!!!
MAMA MCHAWI
****************
Habari za leo wapendwa....
Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข
Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa pamoja muda wa mwaka mmoja na miezi2 baadae binti ambaye ni rafiki yangu akaamua kwenda kumtambulisha mchumbaake kwao.
Basi shoga zangu,akatuandaa sisi marafiki tumsindikize na kijana nae akaandaa marafiki zake watakaomsindikiza..kwao binti.... Basi bana si tukajiandaa vizuri siku ya tarehe10 ndo tulienda kwao rafiki yangu. Namshukuru Mungu tulikaribishwa vizuri kwa ukarimu na ucheshi sana. Tulifurahia kuwafahamu wazazi wake rafiki yangu basi taratibu nyingine zikaendelea
Usiku ulipowadia tukaingia kupumzika mahali tulipoandaliwa wageni,basi sie tukalala
Wapendwa usiku huo kumbe mama mkwe ni mchawi katoka zake kwenda kuwanga,na huo mji aloenda kuwawangia kumbe haungiliki ovyo.....mama wa watu kaganda hadi asubuhi saa12.
Sisi tumelala mara ghafla kelele huko nje zikaanza huyo mchawii umezoea leo umeshindwa mmh,
Hizo kelele za kijijin ikabidi nasi tuamke na kwenda kushuhudia.
Vile tumetoka wageni wote nje. Tulipigwa na butwaa sana baada ya kumkuta mamaake rafiki yangu ndo anayepigwa na kavaa zake kaniki na vibuyu mkononi na mijitu kashikilia mkononi๐ข๐ข๐ข๐ข
Jamani omba isikukute ๐ญ๐ญ๐ญmama mkwe mbele ya mkwewe amevaa kaniki,binti alilia akisema mama laiti ningejua leo hii ningekuzuia usiende kuwanga binti wa watu akazirai mkwe kaamua kuondoka, na kamuacha binti kabisa hamtaki tena..binti alivyoamka nae kaondoka nyumbani ikabidi nasi turudi zetu nyumbani.
JAMAN WAMAMA WAMAMA MNAOWANGA JAMAN ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญNaumia sana najaribu kuvaa kiatu cha yule dada kinanibana jaman Inaumiza sana
Acheni kuwanga jaman wenye tabia kama hizi.
Siku izi nipo Moro TownKaribu sana..Leo tuna ibada saa Tisa jioni na kuendelea
Okay...wasalimie MoroSiku izi nipo Moro Town