Wenye tatizo la usikuvu hafifu kama langu tukutane hapa kupeana faraja

Pole sana mkuu...ila hongera pia kwa kufika hapo ulipo sasa.
Be yourself..
Bado uko na nafasi ya kuonyesha talent yako... Especially mavazi
Kama utaweza fungua duka zuri ukali promo mtandaoni still bado utaweza kuendesha maisha ya kila siku.
 
Aaante sana mkuu.. mapambno lazima yaendelee no matter what
 
Mungu ukafanye njia kwa mwana wako huyu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu izo hazitomsaidia kabisa hata iweje zile Zina range ...Kuna tofauti ya kutosikia na kutokuelewa

Kutosikia unapewa hizi device kama amplifier yaani hearing aid device zinawez kukusaidia kwa kiziwi(deaf).hawa wanakuwa na kitu za kutosikia hata kwa mbali hawasikii ndo izo device zinawez a kuwasaidia.

Tuje hao wasiolewa nahisi mtoa mada yupo humo iyo ishu inaweza kuwa kama tinittus ila sio mara zote yaani inaweza kuambatana na kelele mtu anaongea ila huelewi ukisiliza mziki unaweza kuflow na beats ila maneno husikii hapo hata utumie nn hyo hali haiweza kutoka kama unabisha wapo wazungu matatizo yanawasumbua na huu ugonjwa upo common kwa watu wazima sana kwani nervous system zimefeli kuwa na muunganiko na ubongo, ukitaka kujua hali iyo Inakuwa accompanied na vitu kama maumivu ya miguu kufa ganzi hata kiuno ...Ndo maana unapewa dawa za Neuro support kurecover nervous system ila kupona asilimia 5%
Nmesoma naona ameambiwa anahitaji earing device,kiukweli ni gharama sana hiyo especially kwa watu kama sisi ikitokea kuimudu

Ova
Kiu
 
Ila zinaharibu uwezo alionao sasa. Mimi nayafahamu hayo mambo tangu 2010. Dkt alinishauri niachane nazo hizo device.
 
Mkuu izo hazitomsaidia kabisa hata iweje zile Zina range ...Kuna tofauti ya kutosikia na kutokuelewa

Kutosikia unapewa hizi device kama amplifier yaani hearing aid device zinawez kukusaidia kwa kiziwi(deaf).hawa wanakuwa na kitu za kutosikia hata kwa mbali hawasikii ndo izo device zinawez a kuwasaidia.

Tuje hao wasiolewa nahisi mtoa mada yupo humo iyo ishu inaweza kuwa kama tinittus ila sio mara zote yaani inaweza kuambatana na kelele mtu anaongea ila huelewi ukisiliza mziki unaweza kuflow na beats ila maneno husikii hapo hata utumie nn hyo hali haiweza kutoka kama unabisha wapo wazungu matatizo yanawasumbua na huu ugonjwa upo common kwa watu wazima sana kwani nervous system zimefeli kuwa na muunganiko na ubongo, ukitaka kujua hali iyo Inakuwa accompanied na vitu kama maumivu ya miguu kufa ganzi hata kiuno ...Ndo maana unapewa dawa za Neuro support kurecover nervous system ila kupona asilimia 5%

Kiu
Kwa hiyo ,ina maana ajaribu kuendelea na dawa tu siyo labda itamletea changes mbeleni

Ova
 
Ili uwe huru ukiwa unasemeshwa kitu na husikii,mwambie huyo anayekusemesha kuwa,'sisikii vizuri tafadhali ongeza sauti',nimeshazoea na wala sioni aibu sasa hivi,ingawa mwanzoni ilinipa shida sana.Changanya na maombi sana mkuu,hakuna kitu ambacho Mungu anashindwa,mimi sasa hivi hali yangu ni kama inaimarika zaidi,na ninajipa tumaini iko siku Mungu ataniponya na nitaleta mrejesho humu ndani.....
 
Kwa hiyo,ina maana ajaribu kuendelea na dawa tu siyo labda itamletea changes mbeleni

Ova
Mkuu namshauri atembee na flow ya hayo matatizo...Zile dawa kutumia anaweza kutumia hata mwaka ila zitajenga sumu mwili na Zina Bei !!akubaliane na hali kawaida awe open ..

Mbaya zaidi ni jamii zetu zio rafiki kwa wahanga hapo atapokea dharau, dhihaka na masimango kitu hatar katika jamii yetu😥😥😥😥😥.

jaribu kutafuta hata nyuzi humu zipo kibao za wenye hayo matatizo Kuna jamaa alishawai kununua kidude million 20 akatumia hata miaka 2 haukufika kikamshinda just imagine? Kufa kwa nerves Zina hatar sana tuombe mungu
 
Mkuu izo hazitomsaidia kabisa hata iweje zile Zina range ...Kuna tofauti ya kutosikia na kutokuelewa

Kutosikia unapewa hizi device kama amplifier yaani hearing aid device zinawez kukusaidia kwa kiziwi(deaf).hawa wanakuwa na kitu za kutosikia hata kwa mbali hawasikii ndo izo device zinawez a kuwasaidia.

Tuje hao wasiolewa nahisi mtoa mada yupo humo iyo ishu inaweza kuwa kama tinittus ila sio mara zote yaani inaweza kuambatana na kelele mtu anaongea ila huelewi ukisiliza mziki unaweza kuflow na beats ila maneno husikii hapo hata utumie nn hyo hali haiweza kutoka kama unabisha wapo wazungu matatizo yanawasumbua na huu ugonjwa upo common kwa watu wazima sana kwani nervous system zimefeli kuwa na muunganiko na ubongo, ukitaka kujua hali iyo Inakuwa accompanied na vitu kama maumivu ya miguu kufa ganzi hata kiuno ...Ndo maana unapewa dawa za Neuro support kurecover nervous system ila kupona asilimia 5%

Kiu
Umesema sawa mkuu nikimsikiliza mtu akiongea kwenye simu au vyombo vya sauti yaani spika kutoka kwenye redio, tv au kompyuta ule ile sauti naisikia ila haiji katika mpangilio wa kuweza kuelewa mtu kasema nini ila tukiwa karibu tunaelewana shida mtu akiwa mbali, ana kigugumizi au sauti ikiwa inatoka kupitia spika mfano mic, simu, redio, tv, kompyuta n.k kuhusu maumivu ya kiuno, ganzi n.k izo dalili sina
 
Back
Top Bottom