Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Duuh yani baadhi ya vitu ni ngumu kuamini kuwa kuviacha ni janga la koo na ulimi soda ni moja ya vinywaji pendwa kwa watu ila baadhi ya watu wanashindwa kujitambua kuwa imeadhiri mfumo wao wa akili
Binafsi naona hii kwangu ikitokea nimekua Addicted na kitu cha COCACOLA yani ukinipa hii soda moyo unasuuzika hata kreti nahisi namaliza ikiwa nimekaa muda hata sikumbili ili nijaribu kuachana na uraibu huu najikuta narudi na speed ya 4G kwa kutanguliza Mo Extra ya baridi ikifatia COCA najaribu kweli kupunguza kunywa ila wapi nikikaa muda mrefu ni siku 4 au 5 tu.
Je, wewe tatizo hili limewahi kukukuta tueleze umeliachaje na kuwa huru kama umeshindwa wajuzi wa mambo tupeni njia maana utumwa wa pesa yako mwenyewe ni unakera?
NIMEMALIZA