Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uji upi huo my dear?Mi hapa nipo addicted na uji tu ule mzito unanukia sana
Mkuu hebu tupe elimu kidogo, Kwamba kisukari kinasababishwa na kunywa soda sana?ukikutana na mtu ambae anasumbuliwa na kisukari, au obesity utaacha mwenyewe
Mwanaume rijali atoae uji mzito siyo wa mcheleUji upi huo my dear?
Mkuu hebu tupe elimu kidogo, Kwamba kisukari kinasababishwa na kunywa soda sana?
Hajakosea sana imgawa sio sahihi,Kuna mtu aliniambia kuwa coca inatengenezwa na cocaine sijui kama nikweli
Najitahidi kweli niache kunywa Pepsi
Mimi unitafutie coca tuWakati uzi unaendelea kuchanja mbuga, nitakuwa nagawa Pepsi za baridiiiiiii....😁😁
Ndio, sodaMkuu hebu tupe elimu kidogo, Kwamba kisukari kinasababishwa na kunywa soda sana?
Soda ina sukari nying ambayo sio nzuri kwa afya, How much sugar is in my drink?Mkuu hebu tupe elimu kidogo, Kwamba kisukari kinasababishwa na kunywa soda sana?
Shida sio kufa, unakunywa soda kupitiliza alafu Mungu anakupa umri mrefu ila unakua unapata shida ya sukari, magonjwa ya moyo nk, unateseka na kutesa familia yako inayokuhudumia.Na kama wewe ni unampango wa kuwa na watoto unawaweka kwenye risk kubwa kizazi chako maana kuna sukari ya kurithiTunywe soda tu. usipo kunywa utakufa na ukinywa pia utakufa. Pespi tamu
[emoji23][emoji23][emoji23]acha ukorofiMi hapa nipo addicted na uji tu ule mzito unanukia sana