Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Nimepata kiu Kali ghafla, ngoja nikaitafute asubuhi hii hii[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2116851
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata kiu Kali ghafla, ngoja nikaitafute asubuhi hii hii[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2116851
Najitahidi kweli niache kunywa Pepsi
Wanga unafikiri unashida sema ukizidi ndo shida ila mwili unaakili ukila wanga ukanywa na soda mwili unaanza kuchukua sukari ya kwenye wanga kwanza nakuacha ile ya soda! Sasa ibaki inazubaa mwilini ndo utajua hujui itakapozidi..😂Ndio, soda
Soda ina sukari nying ambayo sio nzuri kwa afya, How much sugar is in my drink?
Kwenye hio link inaeleza kuwa mfano coca cola ina vijiko 16 kwa sukari.
Sasa ukinywa coca cola kila siku na hufanyi mazoezi, au una historia ya kisukari katika familia, kumbuka vyakula vingi tunavyokula navyo ni vya wanga na nakukumbusha sikuhizi sio kama zamani kuwa utatebea umbali mrefu kwenda kufata huduma, unaweza ukajiangalia kwenye miaka 5 ijayo jinsi kunywa soda kutakavyokuletea shida.
Point ni kwamba soda ni tamu, lakini ni kheri kupunguza siku za kunywa soda, labla mara 2 kwa mwezi , pia kujitahidi kufanya mazoezi.
Very simple ukiamua,amua uone ilivyo simpleTupo pamoja... Yaan mm kila nikitaka kuacha nashindwa kbsa
Hurumia figo zako mkuu!Mie Pepsi mpaka nimeanza kuhisi kuna vitu wanaweka kutufanya kuwa addicted..yani siwez kula iwe asubuhi,mchana mpaka jioni bila kukung'uta Pepsi....kwa siku nakunywa mpaka 4..piga hesabu wiki,mwezi,mwaka.
Utaua Figo mkuu acha kabisa hiyo makitu, acha acha...Mo extra zitaniua, Nagonga mpaka nne per day
Kabisa mkuu, imagine 4 energy drink per day??? [emoji134][emoji134][emoji134]Mtakufa mapema ndio maana matatizo na Figo na moyo hayaishi
Hivi mkuu kwa Akili ya kawaida Tu ata bila tafiti nasie tufikirie, unaamini kwamba Pepsi Ina sukari vijiko 16? Hebu chukua Tu maji yenye ujazo sawa na soda Yani 350mls alafu weka hivo vijiko 16 uone kama utaweza kunywa au uone kama ukari wa sukari utakuwa sawa na wa soda yoyote IleNdio, soda
Soda ina sukari nying ambayo sio nzuri kwa afya, How much sugar is in my drink?
Kwenye hio link inaeleza kuwa mfano coca cola ina vijiko 16 kwa sukari.
Sasa ukinywa coca cola kila siku na hufanyi mazoezi, au una historia ya kisukari katika familia, kumbuka vyakula vingi tunavyokula navyo ni vya wanga na nakukumbusha sikuhizi sio kama zamani kuwa utatebea umbali mrefu kwenda kufata huduma, unaweza ukajiangalia kwenye miaka 5 ijayo jinsi kunywa soda kutakavyokuletea shida.
Point ni kwamba soda ni tamu, lakini ni kheri kupunguza siku za kunywa soda, labla mara 2 kwa mwezi , pia kujitahidi kufanya mazoezi.
Akili ni nywele, maana ukiambiwa kuwa hata kula wali mweupe badae hugeuka kuwa sukari kwasababu ni carbohydrate utabishaHivi mkuu kwa Akili ya kawaida Tu ata bila tafiti nasie tufikirie, unaamini kwamba Pepsi Ina sukari vijiko 16? Hebu chukua Tu maji yenye ujazo sawa na soda Yani 350mls alafu weka hivo vijiko 16 uone kama utaweza kunywa au uone kama ukari wa sukari utakuwa sawa na wa soda yoyote Ile
Ukiangalia soda nyingi Tu hasa za take away zimeandikwa kiwango Cha sukari ambacho kimetumika humo na often waga Ina range 10-15g, ambayo approximately ni sawa na kijiko 1 Cha chai, je kuna watu wangapi wanaweka sukari vijiko vitatu kwenye kikombe Cha chai? Nawao tunawaongelea vipi hao?
Me nadhani kuachilia mbali madhara yatokanayo na soda kupitia chemical zake ila hii issue ya sukari vijiko 16 me nadhani ni uongo mkubwa sana na inawezekana ni vita vya kibiashara Tu, huwezi kunywa sukari 160g kwenye maji ya mls 350 bana
Hawa inabidi wachunguzwe.Mie Pepsi mpaka nimeanza kuhisi kuna vitu wanaweka kutufanya kuwa addicted..yani siwez kula iwe asubuhi,mchana mpaka jioni bila kukung'uta Pepsi....kwa siku nakunywa mpaka 4..piga hesabu wiki,mwezi,mwaka.
Siwezi kubisha mkuu maana siku dodge vipindi vya biochemistry, ila hujajibu hoja yangu me nataka utumie ata Akili ya kawaida Tu ili tudiscuss hili, we inakuingia akilini kweli kuambiwa kinywaji Cha 350mls kina sukari 160g?Akili ni nywele, maana ukiambiwa kuwa hata kula wali mweupe badae hugeuka kuwa sukari kwasababu ni carbohydrate utabisha
Mkuu Haina haja ya kuchunguzwa kwamba Kwanini Pepsi inaleta Addiction, maana sababu inajulikanaHawa inabidi wachunguzwe.
Hata mimi nimehisi kwaa muda mrefu sana kuwa Pepsi inaleta addiction
Hatuchekani ila mm huwa moja ikizidi mbili na sasa najitahidi kupitisha week sijanywa japo napata shida sanaMo extra zitaniua, Nagonga mpaka nne per day
Inategemeana nankazi unazofanya kama ni mgonga zeka haina shida but unakaa ofisini unapigwa ac tutegemee makubwaKabisa mkuu, imagine 4 energy drink per day??? [emoji134][emoji134][emoji134]