Wenye uraibu "addiction" ya Soda, unawezaje au uliwezaje kukabiliana na hali hii?

Wenye uraibu "addiction" ya Soda, unawezaje au uliwezaje kukabiliana na hali hii?

Cola ni janga la taifa hapa nipo kwenye process niichakate moja ya bariiiidi
 
Bwana eeeeh hakuna hatakae ishi milele mara chai sumu mara soda sumu sasa tufanyaje wakati tumeumbiwa umaiti live your life bro.
 
Bwana eeeeh hakuna hatakae ishi milele mara chai sumu mara soda sumu sasa tufanyaje wakati tumeumbiwa umaiti live your life bro.
Yaah...nikweli hakuna aliyekuja kulinda dunia..ila kufa kijana na ndoto nyingi hua naona ni bonge ya loss.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa soda Ni kitu Cha kuwa addicted nacho Kweli?
Soda ina addiction mbaya balaa...nimeshuhudia mama mmoja soda moja haimkati kiu mpaka achanganye soda aina mbili tofauti...usiombe hio addiction ni hatari bila soda hawezi kulala...kuna mzee mmoja naye hivo hivo tulikuwa safarini ilimpata kiu ya cokacola alilalamika balaa mpaka tulivofika kwenye ka mji kenye viduka nikaenda kumnunulia alivoinywa akahema kama mgu aliyepata pumzi ya uhai upya
 
Back
Top Bottom