Wenye uraibu "addiction" ya Soda, unawezaje au uliwezaje kukabiliana na hali hii?

Mo Energy zitaniu, yan kila siku lazima nikule kamoja nisipofanya hivi akili inaloaf polepole sana and siwezifanya kazi ionekane
 
Hii addiction ya soda ni balaa kuna mzee asbh saa 12 unamkuta kashika coca huku anaota moto,sasa hivi anaitwa mzee wa coca
 
Wengi wanajidanganya kuwa mimi ni mwembamba kwaio hata nile nini siwezi kupata shida, ubaya ni kwamba kheri mnene mafuta yalipoganda yanaonekana ila mwembamba ni kwamba yanaweza kuganda kwenye moyo, mishipa ya uzazi nk
hivyo mazoezi ni muhimu sana haijalishi umbo lako, kama hauna mda jitahidi utembee hata nusu saa kwa siku inasaidia sana.

Nawashauri kupima BMI na BMR , hii itakusaidia ujue upo kwenye njia sahihi au upo kwenye danger zone
 
Ni sumu soda sio nzuri zina chemicals nyingi
 
Wenzako unaowatia hamasa wanywe soda wanatumia nini kuchuja sumu, mnaharibu vizazi
Brother nipo kwenye mchakato wa kuacha soda, manake zina niongeza uzito pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…